Huyu mchumba wangu simuelewi, ushauri tafadhali

Huyu mchumba wangu simuelewi, ushauri tafadhali

Toka nimueleze nimecheza judo, boxing na karatee amekuwa mchokozi kweli. Mara ya kwanza kazozana na konda nikiwa naye kamrushia ngumi konda konda kajibu nikamshushia kichapo konda. Mara ya pili machinga kamshika kifuani sijui kwa bahati mbaya au laa akaanzisha sekeseke nikampa kichapo chinga Mara ya tatu mjeda kamtongoza kaja kuniita fasta sina ili wale nini kaanza kumtukana mjeda. Mjeda akamcharaza vibao nikaona isiwe tabu nikampa kichapo mjeda nikahama mtaa siku hiyo hiyo. Leo kazozana na mkurya moja huko, muuza mayai. Kanifuata bahati nzuri sikuwepo. Je siku nikila kichapo itakuwaje? Atani chukuliaje? Je huyu ni mwanamke wa namna gani?


Mjanja sana huyo. Anataka kukuona unakuwa katika hali gani utakapochezea kichapo
 
Ngoja akamchokoze scorpion awageuze bucha wewe na demu wako.
 
utakuta maneno yote hayo anatokea buguruni kwa scorpion.
 
Karate ipi umecheza maan ciamin km mjeda uliempiga alikua mjeda....wajeda wana karate yao nomah san
 
Huyu atakupeleka pabaya... muonye aache hiyo tabia.. au akuache wewe... achague moja?
 
Acha sifa uyo dem wako ni fala nlikuwa na dem wa hivo nikamkacha dk sifuri akiona watu anajifanya mropokaji
 
Hahaaahaa,nimefurahii tu siku ya kuja kukatwa pangaaa ,,Judo karateeee,,We kweli ni karne ya 20
 
Back
Top Bottom