Huyu mchezaji Ad Yusuph pale tumepigwa wandugu

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Nimemwangalia kijana wetu anaecheza kwenye ligi bora duniani huko uingereza ama kweli Benchi la ufundi la Taifa stars halipo serious pale hatuna mchezaji ndugu zangu
Yule mambo ya mpira sidhani kama kweli anayatilia maanani alikuwa anakosa kujiamini anapokuwa na mpira pia alikuwa anapoteza mipira mingi
Kuna muda alikuwa anajificha asipewe pasi nadhani alichoka hana pumzi ya kutosha
Bora tungemchukia yule kijana wa mbeya city aliyesajiliwa Tp mazembe anamzidi vitu vingi huyu professional kutokea uingereza
Hala hala benchi la ufundi msijifungie nendeni viwanjani muangalie uwezo wa mchezaji kabla hamjamuita timu ya taifa

Kituko kingine kwenye mechi ya Jana kuna beki wetu aliumia kidole akawa anashika miguu yule muhuni aliogopa mziki wa Algeria bila shaka
 
NI MBOVU ILA NI BORA KULIKO BOKO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom