huyu mbunifu unampa max ngapi?

akiweka vioo utasema hajaweka na taa. na akiweka taa utasema mbona haziwaki. na zikiwaka utasema mbona halitembei. na likitembea utasema mbona halikimbii.
mm binadamu nawafahamu sana.
kweli mkuu umenenaaa
 
akiweka vioo utasema hajaweka na taa. na akiweka taa utasema mbona haziwaki. na zikiwaka utasema mbona halitembei. na likitembea utasema mbona halikimbii.
mm binadamu nawafahamu sana.
...likikimbia atasema mbona halijapata ajali

Binadamu bwana!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…