suranne
Senior Member
- Aug 12, 2010
- 120
- 246
Kwa kweli na kama kweli CHADEMA mmeamua kufanya kazi naomba huyu mbunge wetu wa Ukerewe aangaliwe au afundwe maana ndani ya muda mfupi amekuwa hajiheshimu kwa kulewa ovyo na kugombea wanawake baa nafikiri si weledi unaopiganiwa na chama chake,pia hatukatai kufanya maboresho kwao au kwake ila is too early kununua magari na nyumba lukuki kabla hata hujatatua japo ahadi yako uliyoahidi wananchi Slaa alivyokuja ya kununua jokofu la hospitalini katika mshahara wako wa kwanza bungeni.
MY TAKE; Kuna uwezekano mkubwa jimbo ukaliuza kwa kutokua makini na mambo madogo kama hayo maana baba mzuri hawezi kulewa wakati watoto wanalaa njaa.
Naomba kuwasilisha.:smash:
MY TAKE; Kuna uwezekano mkubwa jimbo ukaliuza kwa kutokua makini na mambo madogo kama hayo maana baba mzuri hawezi kulewa wakati watoto wanalaa njaa.
Naomba kuwasilisha.:smash: