Huyu manzi vp?

Huyu manzi vp?

anaona kuwa una uwezo wa kujitegemea na hautamuomba yeye hela kama wanaume wa siku hizi walivyo
 
wengi tu mbona....utasikia nilipie simu au cologne yangu imeisha tena samtimz kiubabe babe tu.
bila hata ya aibu daaah mi siwez kwa kweli nahic nikimuomba dem hela kama najishusha thaman vile
 
bila hata ya aibu daaah mi siwez kwa kweli nahic nikimuomba dem hela kama najishusha thaman vile

basi usikute wake wa zamani alikuwa anamuomba ndo maana anaona raha at least wewe hutamsumbua kwenye hiyo department so anajituma ipasavyo ili asikupoteze akaja ishia kwa alosto tena
 
basi usikute wake wa zamani alikuwa anamuomba ndo maana anaona raha at least wewe hutamsumbua kwenye hiyo department so anajituma ipasavyo ili asikupoteze akaja ishia kwa alosto tena
inaweza ikawa sikatai ila mimi ananipagawisha zaidi na style zake yaani kama ananifundisha vile eti fanya hivi mara abinui hivi aisee burudani sana mkuu
 
Back
Top Bottom