Huyo mama toka nianze kumuona enzi hizo nikiwa kinda mpaka leo bado yuko vilevile tofauti na wenzake kama Tshala muana,Tabia Mwanjelwa n.k.,i luv this song anyawayz..
Mbilia kweli ukimtazama anaonekana bado wamo,Tshala muana amejiachia sana,kawa bonge la mtu hata kile kiuno tena siku hizi kinamshinda huwahachezi anawaachia vijana yeye anasimama pembeni,enzi zake ukimuewekea mutuashi na kile kiuno balaa lake si la kitoto!
Huyo mama toka nianze kumuona enzi hizo nikiwa kinda mpaka leo bado yuko vilevile tofauti na wenzake kama Tshala muana,Tabia Mwanjelwa n.k.,i luv this song anyawayz..