Huyu Madabida ni nani?

Ninachojua kwenye CV yake ni kwamba ALIINGIZA ARV FEKI, zikaua ndugu zetu wengi (ushahid wa arv feki ninao)

Serikali ikajiridhisha jamaa amefanya makosa na ikafumfungulia mashtaka , ila cha ajabu kampun yake ilishinda na kuidai serikal fidia ya mabilion
 
Kinacho sikitisha wambea wengi WA humu ndani ni wanaume..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…