Wewe CV yake itakusaidia nini?? Mimi namjua vzr madabida, ni CCM mwenzangu na jirani yangu pia. Acheni mapovu jamani Chadema
[/U]So what kama ni CCM ama CHADEMA mwenzio. We are trying to get to know our legislatures here siyo lazima huyu jirani yako.
Anachangia mapovu tu kila mara tena kwa jazba utafikiri yuko mitaani anasutana.
Nimeona threads nyingi watu wanaulizia cv au tabia ya mtu. Kikwete kasemwa itakuwa huyo mtu wako?
Discuss hoja kiutu uzima usiingize magamba. Na kwa taarifa yako mimi niliingia CCM kwa kusoma miezi 6 na mtihani juu.Siyo ninyi mnaopewa kadi uwanjani hata kanuni za CCM hujui.
Kwa vile ni jirani yako una nafasi nzuri ya kutuambia tabia yake na kutupa mwanga. HUYU MH. ZM NI NANI HASA?
Wewe mtihani wa CCM umeufanyia wapi? Acha majungu hapa. Nyie pigeni makelele tu, nchi tunaila sisi. Kwanza wewe una akaunti? Kelele tu ndo kazi yenu. Madabiba kwa taarifa yako ndo mmiliki wa SASATEL. Kama umenuna, kunywa sumu
Walewale akili mgando na kujipendekeza, sisi inatuhusu nini wewe kuwa naye jirani? falla kabisa wewe, sisi tunahoji watu ambao wapo kwenye mfumo wa wizi wa pesa za Umma halafu wewe unaleta ukuwadi hapa?Wewe CV yake itakusaidia nini?? Mimi namjua vzr madabida, ni CCM mwenzangu na jirani yangu pia. Acheni mapovu jamani Chadema
Jana mh mmoja mjengoni kwa jina la Madabida alikoroma sana hadi Zungu akakereka.
Naskia ni Mndengereko, nduguye Nyanchoka ( Mama Salma).
Aliongea sana kwa jazba akiunga hoja mia kwa mia na kuwakoromea wote wanao criticize bajeti. Nilivyomuona anatafuta umaarufu ili mh Rais amuone ili ampe uwaziri.
Akipewa uwaziri huyu wizara itaendeshwa kwa jazba na visasi. Amechukia sana watu ku quote mawazo ya kamati yake. Pia anadhani watu wanaotumia mtandao ni wajinga wasio na kazi.
Kuna mtu anamjua vizuri? CV yake n.k?
| Salutation | Honourable |
| First Name: | Zarina |
| Middle Name: | Shamte |
| Last Name: | Madabida |
| Constituent: | No Constituency |
| Political Party: | CCM |
| Office Location: | Box 3850, Dar Es Salaam |
| Office Phone: | +255 754 400804 |
| Ext.: | |
| Office Fax: | |
| Office E-mail: | zmadabida@parliament.go.tz |
| Member Status: | Current Member |
| Date of Birth | 30 April 1953 |
| Wailes Primary School |
| Jangwani Secondary School |
| University of Dar Es Salaam |
| University of Ghent, Belgium |
| Government Chemist Technical School |
| Company Name | |
|---|---|
| The Parliament of Tanzania | Member - Special Seat |
| Tanzania Pharmaceutical Industry | Director |
| Mpewani Pharmacy | Director |
| NAPCO | Marketing Manager |
| Government Chemists | Chemical Technician |
| Chama Cha Mapinduzi, CCM | Chairperson - UWT (Dar Es Salaam Region) |
| Chama Cha Mapinduzi, CCM | Chairperson (Ward Economics) |
| Chama Cha Mapinduzi, CCM | Guardian (NAPCO Branch) |
| Government Chemists | Chemical Technician |
huyu maza si ndio anamiliki kiwanda cha dawa cha arusha TPI?
Member of Parliament CV
Salutation Honourable Member picture
First Name: Zarina Middle Name: Shamte Last Name: Madabida Constituent: No Constituency Political Party: CCM Office Location: Box 3850, Dar Es Salaam Office Phone: +255 754 400804 Ext.: Office Fax: Office E-mail: zmadabida@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 30 April 1953
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Special Seat[/TD]
School Name/Location Wailes Primary School Jangwani Secondary School University of Dar Es Salaam University of Ghent, Belgium Government Chemist Technical School
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]1967[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]BSc. (Pharmacy)[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[TD="align: center"]Pharmacist[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[TD="align: center"]Diploma (Chemical Analyst)[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
Company Name The Parliament of Tanzania Member - Special Seat Tanzania Pharmaceutical Industry Director Mpewani Pharmacy Director NAPCO Marketing Manager Government Chemists Chemical Technician
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCM Chairperson - UWT (Dar Es Salaam Region) Chama Cha Mapinduzi, CCM Chairperson (Ward Economics) Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (NAPCO Branch) Government Chemists Chemical Technician
[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
huyu maza si ndio anamiliki kiwanda cha dawa cha arusha TPI?
Inawezekana, ana kicertificate cha famacia, hawa ndio wanaochakachua dawa za binaadamu hapa nchini, kama ulikuwa haujui kwa nini hili tatizo haliishi.
Wewe CV yake itakusaidia nini?? Mimi namjua vzr madabida, ni CCM mwenzangu na jirani yangu pia. Acheni mapovu jamani Chadema
Huyu ndy amepiga hela baada ya kutengeneza dawa fake?
JF kiboko hii ilikuwa june.
Wewe mtihani wa CCM umeufanyia wapi? Acha majungu hapa. Nyie pigeni makelele tu, nchi tunaila sisi. Kwanza wewe una akaunti? Kelele tu ndo kazi yenu. Madabiba kwa taarifa yako ndo mmiliki wa SASATEL. Kama umenuna, kunywa sumu
HAYA TUPASHE! sasatel na ARVs feki mbona husemi kitu?
SAFI SANA! tunataka kina mama kama hawa wasomi bungeni. Zarina sema, sema usiogope sema sisi vijana hatuogopi vibaraka wa chakudema sema !
huyu maza si ndio anamiliki kiwanda cha dawa cha arusha TPI?
Wewe mtihani wa CCM umeufanyia wapi? Acha majungu hapa. Nyie pigeni makelele tu, nchi tunaila sisi. Kwanza wewe una akaunti? Kelele tu ndo kazi yenu. Madabiba kwa taarifa yako ndo mmiliki wa SASATEL. Kama umenuna, kunywa sumu