Huyu kweka ni nani?

Huyu kweka ni nani?

power tiller

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
13
Reaction score
1
wandugu huyu kweka aliyetajwa na mbunge kuwa anamtandao wa kihalifu ndani ya jeshi la polisi ni askari wa wapi?
 
wa Tanzania chini ya Jeshi la Polisi la Tz
 
amewahi kuhusishwa na mauaji maeneo mengi huyu
 
Alikuwa anafanya kazi Makao makuu pale Kitengo cha usajili wa silaha(CAR) ana cheo cha sajenti kama sikosei
 
Kwanini spika hakumzuia Lugola kujadili mtu ambaye hayupo Bungeni kama kanuni zinavyosema?Kwanini alimruhusu aendelee na akumkalipia alipomaliza?
 
mbona mahita alikuwa anashirikiana na majambazi nje nje na bado anadunda kita hadi leo?watafungwa wengi magamba wakiachishwa madaraka!!!
 
Kova atamhusisha na utekaji wa Dr. Uli nyie subili
 
Back
Top Bottom