Huyu kosa lake ni nini?

Huyu kosa lake ni nini?

Kwahiyo ameshikwa kwasababu ya kusema kwamba kwanini maji hayatoki?😮‍💨
 
Karibuni tujadiri bhana.
infact,
wachochezi na wapandikiza chuki kwa wanainchi, hawastahili kuachwa watambe hata sekunde moja, miongni mwa jamii iliyostaarabika.

Ni vizuri kua wastaarabu na kujiepusha na usumbufu kwa wasiohitaji makelele yako 🐒
 
Wakuu,hii Serikali ya CCM imeshindwa, kama hujui Wilaya ya Sengerema iko kwenye Ziwa kubwa kabisa la Maji baridi katika Afrika.

Sasa kama hao huko Ziwani hawapati maji ni vipi hawa Wagogo wa Central Tanzania na Singida wapate Maji?!
 
Back
Top Bottom