Huyu kocha ataishusha hii timu daraja!!

Huyu kocha ataishusha hii timu daraja!!

Hapa naona hii ni team ya ARSENAL na kocha wao WENGER.hahah
 
Mbaya zaidi kocha huyu na captain wake wanatudanganya mashabiki kwamba hawana njaa ya pesa na wamesajili wachezaji wawili na wapo tayar kwa sub muda si mrefu.Duu hii timu hiii...Anyway sababu ni ya nyumban wacha tuone.
 
JamiiForums bwana...... Kisima cha burudani...
Ila meseji sent!
 
Mmm huwez kuw kocha na refarii uwe mwenyewe japo umefumba ila nimeshamfahamu huyo kocha atakuwa ni morinyo wa manchester
 
Mwaka huu mtanena mpaka kwa LUGHA,na huu ni mwaka wa pili tu,bado miaka tisa kasoro.Mnaojidanganya eti tusubiri 2020 mnajipotezea muda tu,sio kwa TZ hii na CCM hii ya awamu hii,ila muishie humu humu JF tu,mkiingia street ni kibano na marungu tu.
 
Kocha mumemchagua mwenyewe,
Na pengine muda au mkataba wa huyo kocha ukiisha mtachagua tena,
Cha msingi ni kumuomba tu Mungu
Angekuwa hata anashaurika na benchi la ufundi, amekubuhu kwa dharau!
Wachezaji wanacheza kwa hofu kuu, kwamba wanaogopa kuondolewa kwenye kikosi!
...kuna mtabiri alisema anaweza asiumalize mkataba wake kwa hayanayoyafanya kama hatajirekebisha, cha kushangaza ameitwa mchochezi na kwa sasa yupo kizani!!
 
Back
Top Bottom