Huyu kampiku yahaya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Hakopesheki tena, ndani kabaki na godoro shuka mto na nguo chache, anatembea na ufunguo wa vx v8, anadaiwa na wapangaji wote, mwenye nyumba, mangi dukani, barmaid, bodaboda, changudoa 3, muuza maji, gengeni, bili ya umeme, tigo niwezeshe.list ni ndefu juzi kakosa nauli ya tabaka kachukua gari ya majitaka kaenda nao mpaka tabata kashukia mtaa wa pili kawaacha jamaa
 
Ye atakuwa nani sasa? au yahayayahayayahaya..!
 
uwiiiiiiiiiiiii siku hizi taarab zimahamia kwa wanaume sasa.

haya mpelekee kepten Temba atungie verse
 
maisha tu hasa mwezi huu yahaya wataongezeka. hapa nimepigwa mizinga zaidi ya RAFIKI zangu 30 ila mtu anataka si chini ya elfu 50 na wote sababu moja mshahara kuchelewa na wote watalipa mshahara ukitoka. sasa usipotoka wiki hii si ndo wameshakuwa YAHAYA.
 
Hapo alipochukua gari la maji ---- ndio nimemuona yeye fundi haaaahaa bonge la akili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…