Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,437
- 3,261
Marehemu amekufa na janaba lake
Onesha nidhamu mkuu red hapo juu si sawa.
Marehemu amekufa na janaba lake
You are missing some pointsYou are not serious yet!Unless hujawahi kufiwa.Je! unajua kifo chako kitakuwaje? Kila mtu huwa na pungufu yake na pengine dhambi zako ulizotenda mpaka sasa ni zaidi ya huyu aliyefariki.Tusiweke itikadi za kisiasa kwenye issue nzito kama hizi tena za kusikia kila mtu na lake!
Nadhani maadili bado ni tatizo hapa janvini. Mtu huyu amekwisha tangulia mbele ya haki, hukumu yake ni yeye na Mungu wake sasa tunapokaa hapa na kujadili tena kwa kejeri as if hatutakufa ama tunajua vifo vyetu vitakuwaje hii inanishangaza sana.
Tunayoyajadili hapa kwa uficho, tukifunuliwa sasa tuyaseme wazi hakuna atakayethubutu kunyanyua mdomo wake. Jamani tuweni na ustaarabu wakati mwingine katika kudiscuss issues zenye sura ya uzuni/misiba.Familia yake,ndugu zake,marafiki zake na jamaa wanaposoma humu hivi wanajisikiaje katika kipindi hiki cha majonzi?. Tuache kuhukumu watu tena wafu!
Onesha nidhamu mkuu red hapo juu si sawa.
Hii inanionyesha Watanzania wa sasa hatuna upendo,utu, undugu na uvumilivu katika namna yoyote ile,Bina damu anapofariki tunabaki na majonzi, masikitiko na huzuni kubwa na huruma nyingi kwa ndugu,jamaa zake aliowaacha, lakini sasa ni tofauti kabisaa, Mioyo yetu imekuwa sugu kiasi hiki?Tujiulize na kuangalia tulipojikwaaa,!!Huwezi kubaki unakejeli na kuongelea mabaya ya mtu aliekufa........Anatakiwa aachiwe mwenyezi mungu na hukumu zake, na pengine ni mwema kuliko sisi tunaomuongelea vibaya.
Uzuri wa polisi ni kwamba naye walimiminia risasi baada ya kudhani ni jambazi na hawakufanya mchezo wala kumbembeleza jambazi-walimdedisha. Huyo alilewa madaraka na ufisadi akajiona bora kuliko wengine. Aishiye kwa upanga atakufa kwao. Jina la Bwana lihimidiwe haki inapotendeka.
na wewe unajua utu kama unajua utu lile la ulimboka na mwangosi we uliishauri nin serikali kama si kiherehere. chamsingi kaa kula chamsibani na uludi kwako utakua umefanya jambo la maana sana kwa kubana bajeti vinginevyo itakukusti.
Mkuu umeaga sasa mbona humalizi?You are not serious yet!Unless hujawahi kufiwa.Je! unajua kifo chako kitakuwaje? Kila mtu huwa na pungufu yake na pengine dhambi zako ulizotenda mpaka sasa ni zaidi ya huyu aliyefariki.Tusiweke itikadi za kisiasa kwenye issue nzito kama hizi tena za kusikia kila mtu na lake!
Kwani janaba ndio nini mkuu?Onesha nidhamu mkuu red hapo juu si sawa.