Huyu Kamanda marehemu alikuwa mtu wa ajabu sana yaani yeye kama msimamizi wa sheria lkn kazivunja...

Uzuri wa polisi ni kwamba naye walimiminia risasi baada ya kudhani ni jambazi na hawakufanya mchezo wala kumbembeleza jambazi-walimdedisha. Huyo alilewa madaraka na ufisadi akajiona bora kuliko wengine. Aishiye kwa upanga atakufa kwao. Jina la Bwana lihimidiwe haki inapotendeka.
 
You are not serious yet!Unless hujawahi kufiwa.Je! unajua kifo chako kitakuwaje? Kila mtu huwa na pungufu yake na pengine dhambi zako ulizotenda mpaka sasa ni zaidi ya huyu aliyefariki.Tusiweke itikadi za kisiasa kwenye issue nzito kama hizi tena za kusikia kila mtu na lake!
You are missing some points
 
Nadhani maadili bado ni tatizo hapa janvini. Mtu huyu amekwisha tangulia mbele ya haki, hukumu yake ni yeye na Mungu wake sasa tunapokaa hapa na kujadili tena kwa kejeri as if hatutakufa ama tunajua vifo vyetu vitakuwaje hii inanishangaza sana.

Tunayoyajadili hapa kwa uficho, tukifunuliwa sasa tuyaseme wazi hakuna atakayethubutu kunyanyua mdomo wake. Jamani tuweni na ustaarabu wakati mwingine katika kudiscuss issues zenye sura ya uzuni/misiba.Familia yake,ndugu zake,marafiki zake na jamaa wanaposoma humu hivi wanajisikiaje katika kipindi hiki cha majonzi?. Tuache kuhukumu watu tena wafu!

ukichunguza hao wanaotoa post za kukejeli huyo kamanda ndo utabaki na maswali mengi sana.
 
Huyu katangulia lakini natumaini Polisi wamepata cha kujifunza kama wana roho ya ubinadamu kuanzia kwa Mwema
 
Hii inanionyesha Watanzania wa sasa hatuna upendo,utu, undugu na uvumilivu katika namna yoyote ile,Bina damu anapofariki tunabaki na majonzi, masikitiko na huzuni kubwa na huruma nyingi kwa ndugu,jamaa zake aliowaacha, lakini sasa ni tofauti kabisaa, Mioyo yetu imekuwa sugu kiasi hiki?Tujiulize na kuangalia tulipojikwaaa,!!Huwezi kubaki unakejeli na kuongelea mabaya ya mtu aliekufa........Anatakiwa aachiwe mwenyezi mungu na hukumu zake, na pengine ni mwema kuliko sisi tunaomuongelea vibaya.
 
Mkuu wao wanapotutoa uhai wetu huwa hawasikitiki,hivyo hakuna haja ya kuwasikitikia,wanasahau kwamba na wao watakufa kama binadamu wengine
 
Uzuri wa polisi ni kwamba naye walimiminia risasi baada ya kudhani ni jambazi na hawakufanya mchezo wala kumbembeleza jambazi-walimdedisha. Huyo alilewa madaraka na ufisadi akajiona bora kuliko wengine. Aishiye kwa upanga atakufa kwao. Jina la Bwana lihimidiwe haki inapotendeka.

Mimi iko penda hii
 
Huyu hakuwa askari, kwa sababu risasi haziingii kwenye miili ya maaskari, itaingiaje!!!!!!!!?
 
na wewe unajua utu kama unajua utu lile la ulimboka na mwangosi we uliishauri nin serikali kama si kiherehere. chamsingi kaa kula chamsibani na uludi kwako utakua umefanya jambo la maana sana kwa kubana bajeti vinginevyo itakukusti.

Safi sana mkuu wewe umeongea la maana sana,walivyomuua Mwangosi na kumteka DR Ulimboka hata hawajashauri na ndio hawa hawa walioleta habari za kikuda humu ndani wakisema oooh Dr Ulimboka kasababisha waogonjwa kufa kwani Dr Ulimboka ndio alizuia kununua mahaitaji muhimu ya Hospital kama Madawa,machine nk badala ya kumlaumu Kikwete na serikali yake ya wezi Magamba walikalia kumlaumu Dr Ulimboko sasa leo imekula kwao tumsubirie Emanuel Nchimbi na Said Mwehu oooor no nimeteleza anaitwa Mwema vile,waunde kamati Lol hata sifahamu itakuja na majibu gani time will tell!!
 
You are not serious yet!Unless hujawahi kufiwa.Je! unajua kifo chako kitakuwaje? Kila mtu huwa na pungufu yake na pengine dhambi zako ulizotenda mpaka sasa ni zaidi ya huyu aliyefariki.Tusiweke itikadi za kisiasa kwenye issue nzito kama hizi tena za kusikia kila mtu na lake!
Mkuu umeaga sasa mbona humalizi?
 
Back
Top Bottom