Huyu Jirani kaingia gheto kwangu na Kanga Moja tu,

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Bado sijaamka Asubuhi hii naanza kupatwa na Majaribu,
Jirani yangu wa kike Chumba cha pili tu hapo kanigongea Nimefungua mlango nikakuta kavaa kanga moja tu, bila salamu kaingia mazima mpaka ndani,

Nimemuuliza nikusaidie nini yupo anacheka cheka tu, kasema gesi yake imeisha amekuja kuomba achemshie Chai kwenye jiko langu la gesi,

Nimemuonyesha Jiko hapo ndani mi nipo kitandani,
Yeye yupo pembeni tu anajichemshia chai yake, amekaa kitandani kwenye pembe anasubiri ichemke, (gheto sina kochi wala kiti,)

Hiyo kanga moja aliyovaa na amenipa mgongo, tako liko teke teke aisee macho yangu yanagonga kiuononi kwake tu, alafu kila muda anainuka anajifanya kutazama kama imechemka,

Update.
Soon uzalendo utanishinda.

Update.
Alichokitaka amekipata atimae nimemaliza kazi yangu ya uchakataji ila sasa hofu yangu ni kwamba ataniletea mazoea na mimi sitaki.

Cc Zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijaamka Asubuhi hii naanza kupatwa na Majaribu,
Jirani yangu wa kike Chumba cha pili tu hapo kanigongea Nimefungua mlango nikakuta kavaa kanga moja tu, bila salamu kaingia mazima mpaka ndani,

Nimemuuliza nikusaidie nini yupo anacheka cheka tu, kasema gesi yake imeisha amekuja kuomba achemshie Chai kwenye jiko langu la gesi,

Nimemuonyesha Jiko hapo ndani mi nipo kitandani,
Yeye yupo pembeni tu anajichemshia chai yake, amekaa kitandani kwenye pembe anasubiri ichemke, (gheto sina kochi wala kiti,)

Hiyo kanga moja aliyovaa na amenipa mgongo, tako liko teke teke aisee macho yangu yanagonga kiuononi kwake tu, alafu kila muda anainuka anajifanya kutazama kama imechemka,

Update.
Soon uzalendo utanishinda.

Cc Zero

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimuacha aendee au ulimfanyia kwanza maombi ili ilo pepo lisirudie tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe hogo mkuu!
casss.jpeg
 
Back
Top Bottom