Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,453 Reaction score 10,059 Feb 20, 2015 #1 Majuu kweli hawanazo...
10000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 844 Reaction score 811 Feb 20, 2015 #2 kuna kambare hapo, hahahah
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,768 Feb 20, 2015 #3 Anavua vyura na konokono
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,894 Reaction score 4,477 Feb 20, 2015 #4 Kuna sato hapo usifanye mchezo
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,303 Reaction score 49,380 Feb 20, 2015 #5 Huyo anafikisha ujumbe kwa wahusika kwamba wasipokarabati barabara, atapanda minazi iwe beach kabisa!
Huyo anafikisha ujumbe kwa wahusika kwamba wasipokarabati barabara, atapanda minazi iwe beach kabisa!
Kobe_mzee JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 445 Reaction score 153 Feb 20, 2015 #6 Anavua pelege mavi
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Feb 20, 2015 #7 Huyo anadai haki yake ya barabara ambayo inajaa maji huo ni ujumbe maalum
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Feb 20, 2015 #8 Huenda gari imetumbukia hapo sasa anaivua
Z zonki Member Joined Feb 19, 2015 Posts 95 Reaction score 20 Feb 20, 2015 #9 Afanye hivyo huku DAR..atamjuwa nani anamuita mwenzake AFANDE..Chagonja au Kova.Maana hichi kitendo ni moja ya maandamano.kufikisha ujumbe.
Afanye hivyo huku DAR..atamjuwa nani anamuita mwenzake AFANDE..Chagonja au Kova.Maana hichi kitendo ni moja ya maandamano.kufikisha ujumbe.
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Feb 20, 2015 #10 Ndubwi..........