Huyu Ernest Massawe ni nani?

Kilimanjaro mining ni Kati ya makampuni makubwa ya uchimbaji wa madini aina ya tanzanite huko merarani ikimilikiwa na Ernest masawe akishirikiana na pesa mbili pia ni wamiliki wa Akiba commercial bank wana mahotel makubwa ya kitalii ilikiwemo lake chala hotel kwa kifupi ni wala nchi.
 

Mkuu shukrani sana kwa kuweka facts mleta mada aone jinsi anavyopotosha watu kwa nia anazozijua mwenyewe!
 

Mkuu huyu jamaa nasikia hata kumwona ni shida anamzigo wa kufa
 

Hongera zake bilionea wa 2025 huyo forbes.
 
Mkuu huyu jamaa nasikia hata kumwona ni shida anamzigo wa kufa
sasa mkuu kama unasema hata kumuona ni taabu nakuwa anamzigo wakufa mtu ,si inamana na yeye atakufa sasa kwani naye mtu pia,kamwanglie asijekuwa kashauliwa na huo mzigo wa kufa mtu jamani.
 
Mkuu hebu jaribu kusoma tena hiyo mada taratibu...utaona kweli kama nia ya mleta mada ni kumfahamu tu huyu ndugu Massawe.

Wisdom ya kuuliza inamtoa kwenye malice mkuu!!!
 
Miaka 52 ya Uhuru, kwenye karne ya 21 bado watanzania tunaona ufahari kujadili nafsi na majina ya watu wakati hatuna umeme wa uhakika, maji safi na salama, barabara bora, hospitali kuu ya taifa wagonjwa bado wanalala chini. Kweli umaskini ni ugonjwa na wala si kuwa na akili ndogo.
 

Naitwa Erasto E. Massawe, unayemuulizia ni baba yangu mzazi, ulikuwa unasemaje kwani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…