Huyu dogo alikuwa anajiliza kwanini?

Ameshangaza dunia aisee unaliaje kwenye harusi ya mwanaume mwenzako.
 
Kuna vitu wanawaza kulia mbona kawaida sana.me mwenyewe sometimes nikilewa nikakumbuka marehem wangu lazima machozi yanitoke
 
Ukiona mwanaume anajiremba sana, yaani kwa siku anatumia saa mbili mbele ta kioo, akijirekebisha nywele, midomo, mabega, anakimbizana na fashion za box ujue hasara hapo, atakuwa mwanaume goigoi.
Wanaume kulia hadharani ni kitu cha ajabu, tena kulilia harusini.
Mwanaume lia peke yako chumbani, tena hapo kisa umekopa 300M n.k umeweka kwa biashara, vitu havisomeki, unatafura ada za watoto, unakuta mizinguo tu etc..Sio kulialia ovyo
 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya JamiiForums inakuteuwa kufuatilia na uje na mrejesho.
 
Mh wewe hukai mbali
 
Huko mbele si kuna me na ke, kwa nini mnasema alikuwa anamlilia me na si ke labda ilikuwa yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…