kamanda acha majungu kwa huyu kamanda kiukweli humfahamu kabisa kusoma amesoma hata wapo wengi amefundisha wana jua waledi wake sio majungu kama haya.jamani JF imevamiwa na makajajanja. huyu jamaa Webiro ni tapeli tu. anaishi arusha alikua mhasibu jiji arusha anakesi mahakamani.
huko bunda hana mashiko ni propaganda tu za kutafta umaarufu wa kisiasa.
acha majungu mwana jamvi toa hoja za kujenga taifa sio majungu je unadai nini kwa huyu kamanda huna hoja nenda Lumumba.jamani JF imevamiwa na makajajanja. huyu jamaa Webiro ni tapeli tu. anaishi arusha alikua mhasibu jiji arusha anakesi mahakamani.
huko bunda hana mashiko ni propaganda tu za kutafta umaarufu wa kisiasa.
acha majungu hukusoma naye hata kidogo hujawahi kufanyia usaili sasa unataka nini kwa huyu kamanda acha huna hoja ya msingi kwa taifa hili.Kweli nimeamini uongo wenye maslahi unao nguvu kuliko ukweli ambao hauna maslahi.mnang'ang'ania eti ev imetulia kwani kila mtu si anaweza kuandika kitu chochote mwambieni ascan hivyo vyeti aviweke humu na awataje clasmate wachache aliosomanao hiyo mba na hiyo phd ya kichina. Ila mmesahau kuweka na cpa.baba kite upo humu? Saidia wanajanvi
C.V kama hizi ni chache sana hapa nchini.
Doctoral Degree [Ph.D in Economics] College of Business and Management Sciences at Makerere University, June 2011 with distinction award.
Huyu jamaa ana akili za kupitiliza sio kawaida. cv yake inatisha.
Ninamuunga mkono boliver
Huyu jamaa anaitwa lucas kapinga webiro aliwahi kufanya kazi katika manispaa ya arusha na alishawahi kudanganya kwamba ana cpa kitu ambacho siyo ukweli
Fanyeni reference manispaa ya arusha
Msiwe watu wa kuamini kila kitu.
Kuweni makini hakuna cha makerere wala ndugu yake makerere
Kwa wana udsm b.com 2004 wanamfahamu vizuri sana
Hivi vichwa tunavihitaji kutusaidia katika ukombozi wa taifa hili.
kiongozi wa chadema kanda ya ziwa mashariki,kada wa chadema,mwanachama wa chadema,mlezi wa chadema bunda mjini hapa mawasiliano na elimu yake.
P. O. Box 15582 arusha, tanzania, east africa
+255(0)767820074(home)
+255(0)755 349703(office)
+255(0)685475322(weekend)
email: webirogl@yahoo.com
tanzania.
doctoral degree [ph.d in economics] college of business and management sciences at makerere university, june 2011 with distinction award.
mba finance (with distinction) head of accounting department, faculty of commerce and management, university of dar es salaam, february 2005.
bcom accounting (with 1st class hons), university of dar es salaam, june 2003.
advanced secondary certificate education, arusha secondary school, may 2000 with division one of four points.
ordinary secondary certificate education, bunda secondary school november, 1997 with division one 8 points.
KIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA ZIWA MASHARIKI,KADA WA CHADEMA,MWANACHAMA WA CHADEMA,MLEZI WA CHADEMA BUNDA MJINI HAPA MAWASILIANO NA ELIMU YAKE.
P. O. BOX 15582 ARUSHA, TANZANIA, EAST AFRICA
+255(0)767820074(Home)
+255(0)755 349703(Office)
+255(0)685475322(Weekend)
Email: webirogl@yahoo.com
TANZANIA.
Doctoral Degree [Ph.D in Economics] College of Business and Management Sciences at Makerere University, June 2011 with distinction award.
MBA Finance (with distinction) Head of Accounting Department, Faculty of Commerce and Management, University of Dar es salaam, February 2005.
BCOM accounting (with 1st class Hons), University of Dar es salaam, June 2003.
Advanced Secondary Certificate Education, Arusha secondary school, May 2000 with Division one of Four Points.
Ordinary Secondary certificate Education, Bunda secondary school November, 1997 with Division one 8 points.
Ndio maana yuko kwenye harakati ya kuikomboa Tanganyika
mwanajf toa hoja acha majungu hayana msingi kwa taifa kumfahamu kwa kipindi hicho je ulikuwa wewe mlezi wake huo uogo kabisa acha usirudie kupotosha umma wewe.Huyu Jamaa ni msanii tu!! Hajawahi kusoma hata Masters Achilia mbali Phd inayomfanya Aitwe Dkt Lucus.Mimi nimekuwa nae Mlimani 2003-2004 then Arusha 2006 to date, akiwa mwajiliwa wa Manispaa ya Arusha, Najua hayupo tena Pale Manispaa sasa jiji. Ila is vzr kumjadili kama mtaalamu aliebobea -hili ni upotoshaji
Kweli ni Kada wa Chadema kwa sasa mwenye nia ya kugombea jimbo la bunda ila ni mtu wa kutazamwa kwa karibu mienendo yake ya awali asije kuharibu taswira ya CDM mbeleni.
Ni mtu anaeweza kuzungumza ukimpa nafasi ataku-outsmart well. He is not Phd holder neither an MBA graduate but a mere cadre of CDM.kwa graduate wa B.com 2004 this man was commonly known as "Gapinga"
Peopleesss!!!
computer hiyo au? Siyo wale wa upande wa pili waliokiri kuchoka sasa wameamua kupiga tu.
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.
Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?
Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake
Amkeni makamanda mmeingiliwa!
Hata mafisadi wana uwezo wa kueneza chama na kufungua matawi... Mambo anayoyafanya hayamzuii kufisadi. Ishu ya msingi ni kuchunguza kama ni kweli na siyo eti kisa kufungua matawi ndiyo umwone ni msafi. Mkuu huwa nadhan una uelewa kumbe na wewe kichwa kitupu.
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.
Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?
Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake
Amkeni makamanda mmeingiliwa!
..Is that CV...?? tht is just EDUCATIONAL BACKGROUND only...period...¡¡¿¿
... I hv hard time to most people hasa hapa Tz..... watu wengi hawajui vitu vingii ACCURATELY, ATTENTIVELY & being SENSITIVE TOO ....hawajui... usikute hata huyu ni PhD holder Webiro anaita CV hiyo...& I hope so...
==>> kaazi kweli kweli.... I swear to Mungu ...¡¡¡¿¿
C.V kama hizi ni chache sana hapa nchini.