Huyu Dimmoso na ITV malumbano ya Hoja Kuna nini?

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Kila nikiangalia kipindi cha malumbano ya hoja siku ya alkhamisi huyu bwana hakosekani.Na kila mada yéyé anaijua sasa najiuliza huwa wanalipwa au usikute ndo ajira yenyewe nimekosa picha najua wengi mnamfahamu
 
Sio lazima uchangie kila post na wewe kama dimosso tuOTE="Ngonidema, post: 15624876, member: 312187"]Ndiyo nan? Kamamwambie hatumfahamu, au kama ndiyo ww unalazimisha tukufahamu humu ndan umepotea[/QUOTE]
Sio
 
Kuna yule anajiita Professa na Mzee wa bao nao hawakosekani
Kwa tathmini yangu ya Hiki kipindi nimebaini kwamba mara nyingi sana washiriki ni wale wale na hivyo kukosekana kwa mawazo mapya. Nimekuwa najiuliza how come kuna participants si chini ya kumi ambao huwa hawakisekani kila wiki!! Sijajua ni kwa nini but nawashauri ITV wawe wanaenda mikoani ili kuendesha hicho kipindi siyo kila siku Dsm.
 
Kwa tathmini yangu ya Hiki kipindi nimebaini kwamba mara nyingi sana washiriki ni wale wale na hivyo kukosekana kwa mawazo mapya. Nimekuwa najiuliza how come kuna participants si chini ya kumi ambao huwa hawakisekani kila wiki!! Sijajua ni kwa nini but nawashauri ITV wawe wanaenda mikoani ili kuendesha hicho kipindi siyo kila siku Dsm.
Kweli kabisa mkuu... Almost 75% ni walewale wanaobadilika ni meza kuu tu... Kama watu hawana waenda hata mikoani sio lazima Dar tu... Mfano mnajadili kilimo alafu mko Dar?? Kwanini msiende huko wakulima waliko
 
Sio lazima uchangie kila post na wewe kama dimosso tuOTE="Ngonidema, post: 15624876, member: 312187"]Ndiyo nan? Kamamwambie hatumfahamu, au kama ndiyo ww unalazimisha tukufahamu humu ndan umepotea
Sio[/QUOTE]
Inaoneka ww na huyo domoso wako mko sawa!! Nakutuma kamwambie hatumfaham, na acha kutulazimisha tumfahamu
 
Kuna jamaa pia anajiita Rais wa malofa. Ni walewale kila cku aisee!
ni kweli wanalipwa kwa namna fulani, wanatumiwa usafiri mashuleni ili kushiriki, kuna coordinators kazi yao kuwatafutia watu, ITV hawana uwezo wa kuvuta watu vile vipindi vya Midahalo ya Tanzania tunayoitaka havikuwa vya ndani ndio maanw watu walikuwa wanafurika na kila wakati ni watu tofauti na hata kuhudhuria ilikua kuna wakati huwezi bila kadi, hata huko kwenye malumbano hayapo, hosts wadogo bado hawawezil kwa kweli kwa sasa kinakosekana kipindi cha kutushirikisha na kutoa mawazo yetu zaidi ya J/f, tatizo JF unafiki mwingi kwa sababu ya hizi fake avatars na pen names,
 
kuna msafiri,mwananchi wa kawaida,
tukumbuke kipindi ni live na kuna room maalum na hakuna aliekatazwa kwenda so kufanyika mikoani hizo ni gharama nyingine na kile kipindi kiko kwenye TV binafsi
 
Back
Top Bottom