functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
Nitajaribu mkuuOnana nae face to face afu mwambie akicheka ujue amekubali
M naomba unipe namba zake nimuhoji kwanza halafu ndio nikushauri ch kufanyaHabari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka tu hataki kujibu chochote, inanipa wakati mgumu sana nashindwa kuelewa ana maanisha nini kiukweli nampenda. Kwa wale wenye uzoefu na mambo hayo naombeni ushauri tafadhali.
Acha utan weweM naomba unipe namba zake nimuhoji kwanza halafu ndio nikushauri ch kufanya
Kama sio swali ni nin?Kwan nakupenda ni swali??
Kashaeleweka huyo mwite gheto ukiona karespond kuja maliza kazi kula mzigoHabari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka tu hataki kujibu chochote, inanipa wakati mgumu sana nashindwa kuelewa ana maanisha nini kiukweli nampenda. Kwa wale wenye uzoefu na mambo hayo naombeni ushauri tafadhali.
Shukran mkuu am 26yrsUmri wako tafadhari kama hauto jali!
Anyway huenda hujamsoma vizuri huyo binti kabla hujamtongoza, kama umemuelewa basi huenda njia unayotumia kumtongoza haimshawishi ndio maana anakucheka tu.
Wanawake wanatongozwa sana karibu kila siku, hivyo kabla ya kumtongoza ulitakiwa ujipange ili umuendee kitofauti. Hawa viumbe wanapenda sana wanaume wanaojua jinsi gani ya kujitofautisha na wanaume wengine hasa kwenye suala la mapenzi!
Fahamu anapokuwa huru huwa anapenda kufanya nini, ikiwezekana fahamu ratiba yake kwa siku nzima... Tulia usiwe na wenge la kumtafuta kila saa atakuzoea mapema na mwishoe atakuchoka! Hakikisha unapopata muda wa kuwasiliana nae tumia lugha ya kuvutia ili awe na hamu ya kuwasiliana na wewe...
Yani ni somo refu lakini jaribu kwenda nae taratibu kama una malengo nae...
We nipe namba ndio utajua natania ama niko seriously, halafu nakukumbusha tu siku hizi watu wazima hatutongozi kwa kusema nakupenda hayo wanayafanya watoto wadogo tuAcha utan wewe
Anamaanisha kwamba wewe ni mshika pembe. Sasawa kijanaHabari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka tu hataki kujibu chochote, inanipa wakati mgumu sana nashindwa kuelewa ana maanisha nini kiukweli nampenda. Kwa wale wenye uzoefu na mambo hayo naombeni ushauri tafadhali.
Mshika pembe tena? Maana yake ninAnamaanisha kwamba wewe ni mshika pembe. Sasawa kijana
Shukran mkuu am 26yrs
Unaona maono kwa huyo binti au unagonga tu na kukimbia... Isije ikawa nakupa ushauri tofauti na malengo yako ndugu yangu...
Akicheka amle denda.SISI HUKU MAREKANI NDO TUNAFANYAGA HIVYO KAMA UNABISHA MUULIZE Nyani NgabuOnana nae face to face afu mwambie akicheka ujue amekubali
Nataka kuoa kabisa
Umri wako tafadhari kama hauto jali!