Huyu demu anataka kunifanya mtaji

Huyu demu anataka kunifanya mtaji

Habari wandugu,
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,
Ni wiki kama tatu hivi zimepita nilikutana na pisi moja hivi nikaamua kuitongoza,siku nakutana naye alikuwa ana simu mbili,moja goroka (hivi vidogo vya button) afu nyengine ni hizi simu janja aina ya VIWA ambayo simu hii janja ilikuwa mbovu ilipasuka screen.

Sasa baada ya kurusha nyavu zangu hii pisi ikajaa Lakin siku hiyo haikuwa tayari kutoa mzigo. Katika maongezi maongezi ndo ananiambia "Babe hii simu yangu mbovu na fundi kasema kuitengeneza ni shilingi 35000/=. Mimi nikajua hiki kizinga tayari,nikamwambia leta hii simu nina rafiki yangu Posta aweza kutatua tatizo lake,akanipatia simu Ile.
Wakati naachana na manzi yule tuliahidiana mara baada ya wiki atanitunuku mzigo (nikajua anatiming matengenezo ya simu yake kwanza) mimi nikamwitikia fresh kisha tukaachana.
Siku ya siku inafika tunawekana sawa na kuelekezana wapi tutakutana yeye akakubali kisha akaniambia hiyo sehemu anaijua hivyo nitangulie tu atanifuata,mimi nikatangulia zangu,nafika eneo la tukio,nimemsubiri demu wala hatokei subiri wee ila wapi kumbuka tangu saa2 asubuhi mpaka inafika saa10 jioni ndipo ananitext "Babe nisamehe siwezi kutokea nimepata period" nilichukia Sana ila sikumjibu chochote,kumbuka mpaka hapo sijampatia simu yake.
Wiki Ile ikapita akaanza kunibembeleza huku akidai simu yake ndipo anipe sex,mimi nikakubali kukutana naye ambayo ni wiki ya pili hapo,kimbembe nakutana naye anadai bila kushika simu yake mkononi hawezi nivulia pichu,akilini nikawaza huyu demu anatumia ngono kama mtaji? Nikamuamuru aondoke arudi kwake mpaka pale atakapokuwa tayari kuelewa nini maana ya mapenzi huku nikimuweka wazi sinunui Malaya.
Inafika wiki ya 3 sasa ambayo ndo msingi wa uzi ulipo,demu nakutana naye rasmi huku akiwa ashajiandaa kisaikolojia aliwe kisha apewe simu yake ambayo anaamini nimeshaitengeneza huku kimsingi sikuitengeneza pale nilipomuona ni mwanamke wa maslahi mbele,basi bwana show ikapigwa vizuri tu,namaliza show fresh demu Nampa simu yake kwenye bahasha, hapo hapo akaichana bahasha kutazama simu yake,Looooooh!!!![emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] anakuta simu ipo vile vile ndo ugomvi unaanza kuzuka.
Ugomvi umekuwa mkubwa sana anadai nishamtumia kimsingi ameshafulia hivyo hataki tena simu itengenezwe ila anataka pesa taslimu shilingi elfu35 namimi mfukoni nina elfu15,pale ndo kum'bembeleza Lakin amegoma katakata mpaka nampigia rafiki yangu ndo anakuja anaongea nae hadi anakubali kupokea hiyo elfu15 kwa masharti magumu kwamba ifikapo ijumaa pesa yake iwe imekamilishwa tena na simu haikuchukua akidai mpaka pesa yake ikamilike bila hivyo ananipeleka polisi, ombi langu kwenu wadau kwa ushauri kuna kosa kisheria hapa huyu mwanamke anaweza nishinda? Mana kimsingi asaivi sina pesa hali yangu mazonge kwelikweli. Na ijumaa ndo hiyo ni kesho tu hapa.
hahhaaaaaa.mbinu mpya za kuelekea 2020 kwa wasio jua.hao ndio wanawake
 
Kosa ni kumuahidi kumpa/ kumtengenezea Simu kwa elfu 35.
 
Wote mmekutana mazuzu ila wewe ndio zuu zaidi ya huyu pisi lako.
 
Mkuu yeye ndo alinitafutaga yeye

Kama story yako ni kweli, Mkuu cha kufanya hapo, futa SMS mlizochat nae kwenye simu yake hlf muwahi huyo Dada polisi umkatie RB, umfate na polisi akakae lock up. For eg. mpe shitaka la wizi wa kuaminika na ui-frame evidence yoyote..unaweza msingizia kosa lolote lenye evidence feki ila kikubwa umuwahi Polisi, kabla yeye hajaenda, kesi ikienda mahakamani usitokee cku ya kusomwa kesi thA goD
 
Habari wandugu,
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,
Ni wiki kama tatu hivi zimepita nilikutana na pisi moja hivi nikaamua kuitongoza,siku nakutana naye alikuwa ana simu mbili,moja goroka (hivi vidogo vya button) afu nyengine ni hizi simu janja aina ya VIWA ambayo simu hii janja ilikuwa mbovu ilipasuka screen.

Sasa baada ya kurusha nyavu zangu hii pisi ikajaa Lakin siku hiyo haikuwa tayari kutoa mzigo. Katika maongezi maongezi ndo ananiambia "Babe hii simu yangu mbovu na fundi kasema kuitengeneza ni shilingi 35000/=. Mimi nikajua hiki kizinga tayari,nikamwambia leta hii simu nina rafiki yangu Posta aweza kutatua tatizo lake,akanipatia simu Ile.
Wakati naachana na manzi yule tuliahidiana mara baada ya wiki atanitunuku mzigo (nikajua anatiming matengenezo ya simu yake kwanza) mimi nikamwitikia fresh kisha tukaachana.
Siku ya siku inafika tunawekana sawa na kuelekezana wapi tutakutana yeye akakubali kisha akaniambia hiyo sehemu anaijua hivyo nitangulie tu atanifuata,mimi nikatangulia zangu,nafika eneo la tukio,nimemsubiri demu wala hatokei subiri wee ila wapi kumbuka tangu saa2 asubuhi mpaka inafika saa10 jioni ndipo ananitext "Babe nisamehe siwezi kutokea nimepata period" nilichukia Sana ila sikumjibu chochote,kumbuka mpaka hapo sijampatia simu yake.
Wiki Ile ikapita akaanza kunibembeleza huku akidai simu yake ndipo anipe sex,mimi nikakubali kukutana naye ambayo ni wiki ya pili hapo,kimbembe nakutana naye anadai bila kushika simu yake mkononi hawezi nivulia pichu,akilini nikawaza huyu demu anatumia ngono kama mtaji? Nikamuamuru aondoke arudi kwake mpaka pale atakapokuwa tayari kuelewa nini maana ya mapenzi huku nikimuweka wazi sinunui Malaya.
Inafika wiki ya 3 sasa ambayo ndo msingi wa uzi ulipo,demu nakutana naye rasmi huku akiwa ashajiandaa kisaikolojia aliwe kisha apewe simu yake ambayo anaamini nimeshaitengeneza huku kimsingi sikuitengeneza pale nilipomuona ni mwanamke wa maslahi mbele,basi bwana show ikapigwa vizuri tu,namaliza show fresh demu Nampa simu yake kwenye bahasha, hapo hapo akaichana bahasha kutazama simu yake,Looooooh!!!![emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] anakuta simu ipo vile vile ndo ugomvi unaanza kuzuka.
Ugomvi umekuwa mkubwa sana anadai nishamtumia kimsingi ameshafulia hivyo hataki tena simu itengenezwe ila anataka pesa taslimu shilingi elfu35 namimi mfukoni nina elfu15,pale ndo kum'bembeleza Lakin amegoma katakata mpaka nampigia rafiki yangu ndo anakuja anaongea nae hadi anakubali kupokea hiyo elfu15 kwa masharti magumu kwamba ifikapo ijumaa pesa yake iwe imekamilishwa tena na simu haikuchukua akidai mpaka pesa yake ikamilike bila hivyo ananipeleka polisi, ombi langu kwenu wadau kwa ushauri kuna kosa kisheria hapa huyu mwanamke anaweza nishinda? Mana kimsingi asaivi sina pesa hali yangu mazonge kwelikweli. Na ijumaa ndo hiyo ni kesho tu hapa.
Wape wadau namba ya simu ya huyo demu wakusaidie mkuu.
 
Kiongozi kesho ndio umesema unapeleka marejesho ooh...sorry kukamilisha deni? Just kipande cha mawazo kesho jifanye umejiteka maanake haupatikani. Saasawa mkopa papuchi?
 
Mkuu lipa tu.Wizi wa kuaminika au kupewa mzigo kwa mali kauli.
Alikupa mzigo akiwa anaamini umegharamia utengenezaji wa simu.Huna pesa unakula mzigo utakoma. Pesa na Bata. Huna pesa hamna bata.
 
aisee, yaani umelipia loji kwa ajili ya 'luku' bado 35000 inakutoka na jela juu? kweli nye+ge mbaya sana
 
Aisee Dada huyu pisi hata umpigie magoti anajitia kukaza akidhani mimi muoga,nimemweleza Lakin haelewi kakomalia anataka pesa yote Sasa sijui hapo unanishauri nini
Huo ni mkataba mlipe tu utakuja kutana naye sehemu usio tegemea ukaaibishwa utatamani uwe inzi uruke
 
Siku hizi wajanja wanapima kwanza na vocha utasikia "ukiona kimya ujue MB zimeisha" halafu anakusikilizia ujiingize kingi hapo utasikia " nawekaga bundle ya mwezi 25000".
 
Mpuuuzi kama wewe umebeba mbupu mbili unakosa 35000 nanina, ukiletwa kwangu nakuongezea kesi unalipa ma 10 ya hiyo pesa.shenzy

Hakuna kilicho niuma eti na wewe ni mwanaume huna 35000 kweli? Kama ndoa inipite pembeni ila sio hizi shobo hapana , loh 35000 unaanzisha Uzi?
Anasema nimemtumia bure
 
Mkuu umenitukana sana nakulipa kwa asante.
 
Mpuuuzi kama wewe umebeba mbupu mbili unakosa 35000 nanina, ukiletwa kwangu nakuongezea kesi unalipa ma 10 ya hiyo pesa.shenzy

Hakuna kilicho niuma eti na wewe ni mwanaume huna 35000 kweli? Kama ndoa inipite pembeni ila sio hizi shobo hapana , loh 35000 unaanzisha Uzi?

Dada 35000 kwako ni ndogo kwa mwenzio ni kubwa haina haja ya wewe kumtusi matusi yote hayo

Kama imekuuma yeye kukosa elfu 35 mpe
 
Back
Top Bottom