Huyu demu anataka kunifanya mtaji

Huyu demu anataka kunifanya mtaji

Wewe kwa nini unaingia makubaliano ya kikenge? na kingine wewe umesema ulimuamuru aondoke, sasa kilichokufanya umtafute tena nini? wakati umeshagundua balaa lake?
Mkuu yeye ndo alinitafutaga yeye
 
Hakuna maandishi mkuu
Hapo kosa lipo la KUKOPA PAPUCHI, any way kama hakuna maandishi wewe sogea sehemu upige balimi zako 2 za buku buku ukalale. Saasawa kijana
 
Mkuu nishauri kwamba hapa nitakuwa na kosa gani kisheria mana sijaandikishana nae wala sio mwanafunzi mimi pia sio mwanafunzi
Tehteteh kwahiyo unataka ushauri?!?!?.......duuuuh! mwambie aende polisi ila acha kutongoza malaya
 
Habari wandugu,
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,
Ni wiki kama tatu hivi zimepita nilikutana na pisi moja hivi nikaamua kuitongoza,siku nakutana naye alikuwa ana simu mbili,moja goroka (hivi vidogo vya button) afu nyengine ni hizi simu janja aina ya VIWA ambayo simu hii janja ilikuwa mbovu ilipasuka screen.

Sasa baada ya kurusha nyavu zangu hii pisi ikajaa Lakin siku hiyo haikuwa tayari kutoa mzigo. Katika maongezi maongezi ndo ananiambia "Babe hii simu yangu mbovu na fundi kasema kuitengeneza ni shilingi 35000/=. Mimi nikajua hiki kizinga tayari,nikamwambia leta hii simu nina rafiki yangu Posta aweza kutatua tatizo lake,akanipatia simu Ile.
Wakati naachana na manzi yule tuliahidiana mara baada ya wiki atanitunuku mzigo (nikajua anatiming matengenezo ya simu yake kwanza) mimi nikamwitikia fresh kisha tukaachana.
Siku ya siku inafika tunawekana sawa na kuelekezana wapi tutakutana yeye akakubali kisha akaniambia hiyo sehemu anaijua hivyo nitangulie tu atanifuata,mimi nikatangulia zangu,nafika eneo la tukio,nimemsubiri demu wala hatokei subiri wee ila wapi kumbuka tangu saa2 asubuhi mpaka inafika saa10 jioni ndipo ananitext "Babe nisamehe siwezi kutokea nimepata period" nilichukia Sana ila sikumjibu chochote,kumbuka mpaka hapo sijampatia simu yake.
Wiki Ile ikapita akaanza kunibembeleza huku akidai simu yake ndipo anipe sex,mimi nikakubali kukutana naye ambayo ni wiki ya pili hapo,kimbembe nakutana naye anadai bila kushika simu yake mkononi hawezi nivulia pichu,akilini nikawaza huyu demu anatumia ngono kama mtaji? Nikamuamuru aondoke arudi kwake mpaka pale atakapokuwa tayari kuelewa nini maana ya mapenzi huku nikimuweka wazi sinunui Malaya.
Inafika wiki ya 3 sasa ambayo ndo msingi wa uzi ulipo,demu nakutana naye rasmi huku akiwa ashajiandaa kisaikolojia aliwe kisha apewe simu yake ambayo anaamini nimeshaitengeneza huku kimsingi sikuitengeneza pale nilipomuona ni mwanamke wa maslahi mbele,basi bwana show ikapigwa vizuri tu,namaliza show fresh demu Nampa simu yake kwenye bahasha, hapo hapo akaichana bahasha kutazama simu yake,Looooooh!!!![emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] anakuta simu ipo vile vile ndo ugomvi unaanza kuzuka.
Ugomvi umekuwa mkubwa sana anadai nishamtumia kimsingi ameshafulia hivyo hataki tena simu itengenezwe ila anataka pesa taslimu shilingi elfu35 namimi mfukoni nina elfu15,pale ndo kum'bembeleza Lakin amegoma katakata mpaka nampigia rafiki yangu ndo anakuja anaongea nae hadi anakubali kupokea hiyo elfu15 kwa masharti magumu kwamba ifikapo ijumaa pesa yake iwe imekamilishwa tena na simu haikuchukua akidai mpaka pesa yake ikamilike bila hivyo ananipeleka polisi, ombi langu kwenu wadau kwa ushauri kuna kosa kisheria hapa huyu mwanamke anaweza nishinda? Mana kimsingi asaivi sina pesa hali yangu mazonge kwelikweli. Na ijumaa ndo hiyo ni kesho tu hapa.
Ila mkuu bado unaweza kupiga show kwa sababu profile photo mbona hatari? Hivi una miaka mingapi tena? au ndio ile ng'ombe hazeeki maini?
 
Kuna tumaini la kushinda hapa mkuu?
Kubwa mno....anakuchimba biti huyo...hawezi kwenda polisi....kibao kitamgeukia yy anayefanya ngono ya kulipisha wakati hairuhusiwi....ngono ya malipo haijawahi kuwa mkataba halali....hiyo kesi unashinda saa nne asubuhi...
 
Baba mpe hiyo Pesa.Ulikosea kujicommit kutengeneza simu
 
Mwambie ukweli
Aisee Dada huyu pisi hata umpigie magoti anajitia kukaza akidhani mimi muoga,nimemweleza Lakin haelewi kakomalia anataka pesa yote Sasa sijui hapo unanishauri nini
 
Asante mkuu
Kubwa mno....anakuchimba biti huyo...hawezi kwenda polisi....kibao kitamgeukia yy anayefanya ngono ya kulipisha wakati hairuhusiwi....ngono ya malipo haijawahi kuwa mkataba halali....hiyo kesi unashinda saa nne asubuhi...
 
Sadly wanawake wa kiafrika ndo walivyo.

Njaaa mwanzo mwenga
 
Back
Top Bottom