Huyu dada simuelewi kabisa

Ukiona huelewi.ujue uhusiki.

Acha kujipa ubize usokua na faida.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Kipindi changu nafundisha college flan hapa mjini vijana kama nyie nlikua nawakamatisha sup hiv hiv...
 
Kijana msomi wa chuo anakuja komba ushauri kwa jambo la namna hiyo. Akipewa ofisi kuna kazi hapo!?
 
Mkwawa alikuwa mjanja, nyie wajukuu zake ukilaza mmerithi kwa nani?
 
Bro inaonekana huna kipaji cha mapenzi.....We endelea kusoma nae tu huku wahuni wanamla bila mafuta ukija kushtuka cku unakuta mke wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu kwako Dogo,maliza masomo yako kwanza.Ukimaliza utawaona warembo wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…