[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
achaaa upimbii wewe...vitu vingine haifai kuuliza kama mwanaume,mpeleke kanisani mkaombewe woteNatumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU USHAWAH KUANGLIA ILE MOVIE YA HIT AND RUN KAMA UJAICHEK KAITAFUTE UTAPATA MAJIBNatumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema ni mdada anagawa ovyovyo sanaunatuaibisha ww mwanaume wa Dar
Hivi wanaume wa Dar mna KWAMA wapi???Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weeh, msaidie kabisa kumchorea hiyo picha ili aelewe[emoji39]Lugha ya picha nayo huelewi..basi ata darasani utakua kil**za
Kwahyo umekasirika mzeeHuna lolote we unamtaka huyo demu japo Naye anakuletea hivyo vitimbwi.. Ila ww pia bwege na mwoga wa kufunguka.. Binafsi sina woga wa kumwogopa mwanamke zaidi ya mama wangu tyu.. Hata First Lady ya Trump me nazamia tyu lolote lile...
Sasa ww demu anakuonesha njia na kukusafishia pia then unakuja kulialia hapa...!!!!
Pumbafu sana Alaah..!!
Hiv kweli unasoma chuo au umejisaaha form IV unaiita chuo? Sasa hapo huelewi nini? dogo kakojoe ulaleNatumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Me sio mchoraji😛Wacha weeh, msaidie kabisa kumchorea hiyo picha ili aelewe[emoji39]