Unastahiki kuambiwa weye ni fwala hasa hujielewi.Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unastahiki kuambiwa weye ni fwala hasa hujielewi.
Wana JF kuna mambo ya kuja kuulzia humu,alafu mtu anajinasibu mwanachuo anaomba ushauri kanya mat.ako yana kinyesi afanyeje?
Nyambaaaaaaf umenibhoa ssna mkuu.
Samahani kama nimekukera.
Acha kulaza damu kijana, yaani hata picha huielewi inasemaje... Au unatupima imani...??? Dada kapenda huna budi kumpendaNatumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kilaza tu ila kitumbua kabisaLugha ya picha nayo huelewi..basi ata darasani utakua kil**za
π π π π π π π πUnastahiki kuambiwa weye ni fwala hasa hujielewi.
Wana JF kuna mambo ya kuja kuulzia humu,alafu mtu anajinasibu mwanachuo anaomba ushauri kanya mat.ako yana kinyesi afanyeje?
Nyambaaaaaaf umenibhoa ssna mkuu.
Samahani kama nimekukera.
unatuaibisha ww mwanaume wa DarNatumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi baada ya mitihani kuisha kila mtu akaenda kwao kwa ajili ya likizo . Mimi mwanaume nkawa napiga mishe zangu za kitaa kama kawada hku nkiwa nasubiria tufungue chuo . Nkiwa nyumban dada akanitafuta (ambaye tunasoma naye ) tukawa tunachat naye kawaida kama mtu na rafiki yake ila hizi siku za karibuni amekuwa ananiletea story za mapenzi utasikia kuna fulani classmate wetu amenitongoza . Yaani kila akitongozwa na mtu ananiambia sasa mwanaume nashindwa kumuelewa dada anataka nini alafu dada yupo fresh sana kama zile type ya akina Elizabeth Michael .ushauri kwenu wanajf nimuweka shoo kali au nimpotezee tu .
Sent using Jamii Forums mobile app