Huyu dada simuelewi, anataka nini hasa

Mapenzi bila pesa hainogi. Mpe malavidavi na pesa pia!
 
Kibongobongo Mapenzi na Pesa ni Mtu na ndugu yake.
Huyo Dada anakupenda na kama VP mtunze tu,
Udhaifu wake ni kutojua Lugha laini ya ku-present mada. Hapa ndipo wengi wanashindwa.
Ww rudia kumtunza kama mwanzo uone kama utasikia tena maneno.
 
Hivi kama mwanamke ana kazi na kipato chake,,, kuna haja ya mwanaume kumuhudumia kwa pesa zake? Au sikuhizi mapenzi ni biashara?,,, I mean anauzaaa??
 
Wanawake msipobadilika,,, mtaendelea kutumiwa na kuacha,, maana kupe dawa yake ni DDT,,, hebu mjitegemee na wakati huohuo muwe na wapenzi uone kama atakutenda,,,, unless mnatafuta pesa sio mapenzi,,,,
 
So amekuambia anataka mjengo tuu ? Gari unajipendekeza wewe haihitaji
 
Acha upumbavu kijana inamaana huna wazazi wakuwaudumia ata ndugu wenye huitaji nao huna? Basi ata mtoto yatima hapo mtaani hakuna?

Kuliko kutapanya mali ovyo izo pesa mudumie mama yako mzazi utapata baraka duniani na mbinguni.

Kama bahati mbaya huna wazazi basi wasaidie watoto yatima somesha ata mmoja fani yeyote apate elimu.

Kumbuka unatakiwa kumudumia na kumpa pesa mwanamke ambaye nimkeo na sivinginevyo.

Acha uzinzi kijana tafuta mwanamke mnaependana oa kisha anza kuudumia kihalali audience kama unampenda nayeye anakupenda uyo single mother basi muoe ili umudumie akiwa mkeo.

Unachokifanya sasa nikutapanya Mali ovyo ovyo kitu ambacho ni dhambi duniani adi Mbinguni. Hivyo badilika kijana Fanya maamuzi sahii.
 
Vip mkeo umeshamuhakikishia umeachana na yule mchepuko wako uliyekuwa unasafili nae?
 
Tunavoviropokaga Wala hatumaanishi wewe fanya Yale unayoona unaweza ila sio kufuatisha maneno yake
 
Hii ni chai tu mkuu anakumalizia nguvu tu kuandika yote haya.
 
Anachokisema mwanamke sicho anachomaanisha kwaiyo wala usichanganyikiwe na kauli zake kwasababu kauli zao niza hisia nasi uhalisia.Ata ivyo lazima ujue wanawake na ela ni kopo na mfuniko wake sasa akil kichwan mwako.
 
Ishiiii lione kisa haliwezi kutoa pesa na mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…