time theory
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 766
- 640
Stori ya uongo hii. Yaani mdada yuko alome anasanya? Buku vs privacy na risk ya kunukiwa jasho na viatu!
Hujanipata!
Mtu mwenye akili yake timamu hawezi kukupakia kwenye gari yake kwa ajili ya malipo ya buku;
vinginevyo huyo dada naye hamnazo.
Duhh saa nne alafu jua kali!!!!!
hata kama hamnazo asingethubutu aiseee!
Hukawii kupakia mtu akashuka na handbag yako ama akupurure dhahabu zako bureee. Anajisifia tu aisee:A S 27:
mkuu anza kununua baskelidaah kweli mkuu, itabidi nianze kusave kwenye kibubu ili siku moja nami ninunue motokaa
mkuu anza kununua baskeli