Wakati tunaisomba namba na kuisubiria Tanzania ya Viwanda naomba kufahamu tu huyu ni dada star gani, maana mara nyingi naona anatupiwa sana mitandaoni akiwa katika mapozi tofauti bila shaka hata wewe umehawi kuona hilo.
View attachment 437829 View attachment 437831
Japo kujua usiyoyajua si mbaya, maana wanamrusha tu bila kutaja ni nani.