Huyu dada mtu simuelewi kabisa!!

Walikuwepo wawakilishi wa wazazi wake, yaani dada mtu mama yake mdogo na watu wengine kwenye familia yao.Kifupi ukoo wote unanitambua mama yake nishainana nae kabisa na alikuja kwa ajili ya kuniona tu.
Matatizo ya kuoa kupitia mgongo wa mtu.
 
Hiyo inaeleweka na ukoo mzima unajua kwamba mahari inapelekwa wiki ijayo.
Sasa mkuu magaye hofu yako nini hasa? Au unataka ushauri gani? Maana inavoonekana huyo dada hawezi vuruga mipango inayojulikana na ukoo mzima..
 
mbona huna cha kushangaa hapo,kalipe mahari endelea kula mzigo
 
piga mzigo man....msugue mpaka achanganyikiwe
 
Humuelew nin sasa hapo? Anataka mdogo wake arudi nyumban, full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…