Huyu dada mtu simuelewi kabisa!!

Mh yaleyale..yaani unanyonga kwanza ndo unachinja. Rudisha mtoto kwao na uache uzinzi
 
Hivi makao makuu ya Afrika Mashariki yako wapi.
 
Naomba serikali iingilie kati hili suala haiwezekani uishi na binti wa watu bila wazazi wake kujua,we sio mtu mzuri bhana.
 
Walikuwepo wawakilishi wa wazazi wake, yaani dada mtu mama yake mdogo na watu wengine kwenye familia yao.Kifupi ukoo wote unanitambua mama yake nishainana nae kabisa na alikuja kwa ajili ya kuniona tu.
Sasa kwann huyo mchumba wako asiwajulishe wazazi wake kuwa HAJAPOTEA bali yupo kwako na next wk wajiandae kupokea mshiko????
 
Mmh...ukipeleka hiyo mahari faini itakuhusu
 
........

Kiukweli ni msichana ambaye kama wewe ni mwanaume halafu ukakutana nae njiani,usipogeuka kumuangalia tena lazima utakuwa mchawi tu.
........

Kiukweli ni msichana ambaye kama wewe ni mwanaume halafu ukakutana nae njiani,usipogeuka kumuangalia tena lazima utakuwa mchawi tu.
Hahahahah.. Usigeneralize mkuu anaweza akawa mzuri kwako kwa wengine wa kawaida. Watu wengine tuna taste tofauti kabisa. Kama sijaona taste yangu hata salamu hapati mbali na kujeuka. No offence
 
Sasa kwann huyo mchumba wako asiwajulishe wazazi wake kuwa HAJAPOTEA bali yupo kwako na next wk wajiandae kupokea mshiko????
Hiyo inaeleweka na ukoo mzima unajua kwamba mahari inapelekwa wiki ijayo.
 
Anataka umuoe ndugu yake. Barua si guarantee ya ndoa. Mkuu kama mnaishi wote tayari na unampenda kama unavyosema unachosubiri nini? Hela za party😵!!!
Dada mtu ndo aliyemruhusu aje aishi kwangu, halafu sasa hivi anageuka tena.Ndo kinachonishangaza hicho.
 
Inaelekea unapenda vya bure sasa kwa nn usiende kujitambusha kwao kwa hiyo huku unahitaji msaada ili uendelee kugegeda bure
Nimeshajitambulisha kitambo tu...sasa nikajitambulishe wapi tena!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…