Huyu dada kiukweli nimeshindwa mimi, wanawake wa kizazi hiki kwanini?

Isha nikuta hata mimi. ,et yeye Tupo dar mi Bush,, mpaka ni Burundi et nitume hela. Nikasema hata kifurushi siwezi,, huku mpakani ni bei poa tu wanapatikana Leo nitume et Mpesa
Is this supposed to be swahili? Sounds like an alien language to me!
 
Ila kweli mwanamke anayeanza kuomba hela mara tu baada ya kupeana mawasiliano anakera sana yaani steam yote inakatika. Lakini pia sisi wanaume tusikaze sana kamba. Wapo wanawake hawaombi hela, sasa hao tuwakirimu, tuwape tu hela maana mpaka unavutiwa naye kuna gharama imetumika ya mavazi, malazi, chakula kizuri, vipodozi etc. Sasa na wewe mwanaume kuwa tayari kuchangia kidogo. Usipende tu kuvuna usipopanda. Wale waungwana tuwape tu hela ndo uume huo!!
 
Haya mapenzi pesa kwa kweli yamekuwa kero alafu utasikia mwanadada anasema haolewi sasa sijui ni mume gani ata taka mwanamke mpiga hela na vizinga kila siku badala ya kusupportiana kutafuta hizo hela vizuri
 
Mkuu acha tu. Mimi kuna mmoja alinambia yupo Morogoro! Nimtumie nauli aje DSM. Kosa langu kumuuliza DSM - MORO nauli Tshs ngapi!

Mdada alinambia, nanukuu: fanya km elfu 40 hivi, inatosha, ila ntakuja Ijumaa nikishasubmit assignment ili nilale mpk Jumapili....!

Nikamuuliza Morogoro kuna ofisi za SUMATRA? Akaniuliza SUMATRA Ndio nini! Nikamwambia ni Mgodi wa dhahabu. Nikamuambia accountant wao ni mdogo wng, namuelekeza akachukue!
bro hapo umeniacha hoi mpk bas ha ha ha
 
kwa kuwa ahuyo ameshakuwa dada yako hebu sasa nipasie mimi nioe kabisa. ili sasa tuunge undugu mimi na wewe .yaani uwe shemegi yangu. ntashukuru sana ndugu yangu maana kwa sasa kuna kipindi mtu unatamani hata ulie maana mi wanawake ya siku hizi ni hovyo sana ukifahamiana naye siku mbilie tu mkabadilishana namba ki
hahaha mkuu namvizia japo ana mtu tayari huwanamkumbukakumbukaila bsitu...najikaza itabidi nikaushe...ngoja basi nisikubanie tuunde undugu
 
Dah..pole sana..mim pia yamenikuta ..juz kuna dada mmoja nimejuana nae fb...yaani mwanzo tu wa maongez ananiomba 20000. ..eti ni mda wa lunch .. akaniahidi kunipatia anavotoka ...nikasema hii kmamata mwizi sasa . Nimwendo wa kumbrock kabsa.
 
Mkono mtupu haulambwi.
Unapopokea ujue kutoa, siyo kutaka kupewa tu, kama Kupe amnyonyavyo Mnyama, hili hatukubali, jamani hamuoni hali ni mbaya!, kula na kulipa ndiyo habari ya sasa, siyo kutuchuna na hamtaki kutoa Mbunye"
 
Sniper wa Israel kapewa jukumu la kukutungua kashindwa! haha noma sana

Kuna siku nilisha liwa buku tano la nauli kwa njia hiyo

Demu nilikutana nae kwenye mtandao mmoja hvi tukachart wee sa siku moja nikamwambia aje skani akanijibu hana nauli akaniambia nimtumie nauli atakuja nikamrushia buku tano, hakuonekana tena hadi leo, nikasema ningemdaka ningemnyofoa shingo
Mkuu, umenifanya nicheke ka Mwehu, na tukisema kila Mtu aandike humu alivyolizwa na kuliza, itakuwa ni vituko, ila nami sitasahau siku nilipolizwa elfu 50, kwa hizi inshu za nauli, baada ya kuwa na mawasiliano takribani mwaka mzima, na hadi sasa sijakata tamaa namtafuta, mara awe hewan mara atoweke, siku ikitokea nikamnasa ataona moto,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom