Huyu dada kiukweli nimeshindwa mimi, wanawake wa kizazi hiki kwanini?

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Mimi nimezaliwa Bongo miaka mingi iliyopita nikasoma hapa kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo ila nilifanikiwa kidogo kufanya kazi mikoani. Kilio changu kikubwa ni wanawake wa miaka hii. Nimefahamiana na dada mmoja mrembo huko Facebook anajiita somebody halafu anaishi na mumy. Huyu dada analika kiukweli wala nisiseme uongo na anapenda kutupia mapicha yake ya mitego kila mara.

Niliomba namba yake ya simu bila hiyana akanipa. Akanambia yeye hajaajiriwa amejiajiri, ni mfanyabiashara. Ingawa nilimuuliza anafanya biashara gani hakunijibu akaweka weka maneno issue hiyo ikafa kama suala la katiba mpya au katiba ya Wairoba. Nikasema kimoyo moyo isiwe issue, la msing tu anayo K maana hilo ndo jambo la muhimu kwa mwanamke.

Mwanamke hata awe mzuri vipi kama hana nyau/pussy anakuwa ni kama picha tu ya kwenye magazine. Nikajisemea kazi yake mi inanihusu nini? Kwani nataka aniajiri? Aaaargh. Basi tukaanza kuwa tunawasiliana. Siku ya kwanza tu kuwasiliana kwa simu akanambia yupo njiani ana drive anaelekea somewhere but nikawa napata shida kidogo anaweza vipi ku drive na huku anachat nami. Basi nikamshauri asichat akifika sehemu ndo tu chat, akasema hewalaah baba.

Kweli baaada ya muda fulani akasema amefika sehemu tukachat kidogo akaomba nimtumie pesa ya Lunch. Daah nikamwambia kwa muda huo sipo sehemu yenye huduma za simu za pesa. Nikawa busy nikasahau, baada ya siku mbili kuja kumtafuta akawa hapokei simu zangu. Nimepiga sana hadi nikaamua kumwambia nina issue yake nataka niwasiliane naye nimpatie. Alipoona hiyo SMS akapokea simu, akasema hakuwa anapokea simu kwa kuwa mimi sikuwa mwaminifu kwenye kumtumia pesa. Nika mplease yakaisha.

Basi siku nyingine akanipigia simu kuwa yupo sehemu amepungukiwa kama 40,000 nimtumie haraka haraka atanirudishia siku mbili tatu kuna mzigo anaagiza. Nikamwambia kwa siku ile sina pesa. Akaniuliza kama akope halafu nije nilipe. Nikamwambia kumbe kama kuna sehemu ya kukopa si ndo angekopa halafu aje alipe kama ambavyo angekuja kunilipa mimi. Akakata mawasiliano.

Leo from no where akanitumia SMS nimtumie salio eti yeye anapoishi ni mbali sana na maduka hayo. Nikamjibu mimi nipo mbali pia na maduka nipo nyumbani naumwa. Hakutaka hata kuuliza naumwa nini amenyamaza.

Sasa shida yake ni kuwa hakuwa mkweli anafanya biashara gani ili nijue then tufanye hiyo biashara na kama ni biashara hiyo then nitampaje pesa wakati hajanipa huduma? Akina dada wa kizazi hiki na sisi wanaume mjue tumeshashtuka hivyo ooooh! Si kama wa miaka ile ya nyuma au wa mikoani.
 
umenipa wazo zuri ngoja nitafute wanawake kama 3 wa kunipiga mizinga halafu kila mzinga anaonipiga badala ya kumpa yeye naenda kuweka bank. na mwingine naye akinipiga mzinga naenda kuweka bank halafu baada ya mwaka nakuja kuangalia nina tsh ngap.


kaka fanya jitihada ununue kibubu uweke hizo hela unazotaka kuhonga baada ya mwaka utaweza kununua tofali za kutosha na kuanza ujenzi (kama unacho kiwanja tayari)
 
Sniper wa Israel kapewa jukumu la kukutungua kashindwa! haha noma sana

Kuna siku nilisha liwa buku tano la nauli kwa njia hiyo

Demu nilikutana nae kwenye mtandao mmoja hvi tukachart wee sa siku moja nikamwambia aje skani akanijibu hana nauli akaniambia nimtumie nauli atakuja nikamrushia buku tano, hakuonekana tena hadi leo, nikasema ningemdaka ningemnyofoa shingo
 
Wabongo noma wewe, kuna mdada nilisoma nae primary ni miaka mingi sana, tumekutana Ubungo stand, ile hug salam alisisitiza sana tuwasiliane, khe baada ya siku mbili kibom.
Inakufanya mtu asikuheshimu yani bila aibu wala kufikiria kua huyu ni binadamu jee nikimuomba na akiwa hana atajisikiaje
sasa kama huyu mmeonana hata hajui maisha yako yakoje anaomba tuu hela naomba hela,ivi shida wanakua nazo wao tuu?
na still haziwatoshi kwako ataomba na kwamwengine anaomba ndio mana wanaume zao wakianza kuwatukana utatafuta
shimo uingie mpaka amalize hayo maneno..kuna mbaba alimtukana mwanamke wake alikua saloon nilikua naosha nywele nilichukua mtandio nikaweka masikioni nisisikie lakini wapi! Baba anatukana utadhani kazaliwa na shoga au yeye shoga..
 
Wabongo noma wewe, kuna mdada nilisoma nae primary ni miaka mingi sana, tumekutana Ubungo stand, ile hug salam alisisitiza sana tuwasiliane, khe baada ya siku mbili kibom.
siku hizi usipokua makini utashaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom