Huyu dada hata simuelewi

fredism

Senior Member
Sep 6, 2017
138
137
Kuna dada mmoja hapa mtaani kuna grocery jirani uwa naenda kupata kinywaji mara nitokapo katika miangaiko yangu sasa kuna siku alikuja pale kumtembelea rafiki yake nilipomuona nikatokea kumkubali kwa jinsi alivyo nikamuita nikaongea nae akanipa namba tukaendelea kuwasiliana

Shida ndio zikaanzia apa maana anaanza kunitangazia matatizo kibao mara anaumwa, simu yake kioo kimepasuka, mara hana nauli ya kwenda mjini, ajanywa chai. Hapo bado sijapiga papuchi nikikaa kimya kidogo bila kumjibu limeshakua kosa mbona aunijbu je nikimla si ndio atataka nimuhudumie kila kitu.
 
😂 😂 😂 😂 😂pole sanaaaa mkuu wameambiana hao sikuiz ukiomba namba tuu basi matatizo yote ya ukoo unahamishiwa uyatatue
 
Ulipomwita ni kama ulimwita kwenye interview, mmebadilishana namba na ukamtongoza hapo ni kama ulimwajiri.

Sasa amepata kazi boss hutaki kumlipa mfanyakazi wako umekuwa Musiba wewe?
 
Ukishamla mwambie muwe mnauziana kwa kuwa uwezo wa kumuhudumia wewe huna ila Kwa week unao uwezo wa kumnunua Mara moja tu
Nalog off
 
Kuna dada mmoja hapa mtaani kuna grocery jirani uwa naenda kupata kinywaji mara nitokapo katika miangaiko yangu sasa kuna siku alikuja pale kumtembelea rafiki yake nilipomuona nikatokea kumkubali kwa jinsi alivyo nikamuita nikaongea nae akanipa namba tukaendelea kuwasiliana

Shida ndio zikaanzia apa maana anaanza kunitangazia matatizo kibao mara anaumwa, simu yake kioo kimepasuka, mara hana nauli ya kwenda mjini, ajanywa chai. Hapo bado sijapiga papuchi nikikaa kimya kidogo bila kumjibu limeshakua kosa mbona aunijbu je nikimla si ndio atataka nimuhudumie kila kitu.
Tuone picha ya huyo dada kwanza
 
Mkuu madwmu wengi wajinga sana, ukichukua namba anageuka kuwa yatima, anauguza, anajigeuza mlipa ada za wadogo zake, mara kodi imeisha mara hajala.
.taabu kwelikweli
 
Kuna dada mmoja hapa mtaani kuna grocery jirani uwa naenda kupata kinywaji mara nitokapo katika miangaiko yangu sasa kuna siku alikuja pale kumtembelea rafiki yake nilipomuona nikatokea kumkubali kwa jinsi alivyo nikamuita nikaongea nae akanipa namba tukaendelea kuwasiliana

Shida ndio zikaanzia apa maana anaanza kunitangazia matatizo kibao mara anaumwa, simu yake kioo kimepasuka, mara hana nauli ya kwenda mjini, ajanywa chai. Hapo bado sijapiga papuchi nikikaa kimya kidogo bila kumjibu limeshakua kosa mbona aunijbu je nikimla si ndio atataka nimuhudumie kila kitu.
Temana nayeye. Au jipigie ukimbie mapema hapo hakuna kudumu. Ukidumu unadumishwa kuchunwa una uchunwa mpaka uuze boxers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ulikosa kabisa demu kiasi cha kuokoteleza glocery?

Au ndo zako kuokoteleza mademu kwenye ma bar na glocery
 
Back
Top Bottom