Huyu dada ananitesa kiukweli

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
Habari zenu wana jamii, niende kwenye mada. Kiufupi kuna Dada huwa na mfatilia kwa muda mrefu sana, ila huwa hanielewi japo hilo sio tatizo sana, tatizo ni kwamba ananifanyia vitendo vya kuniumiza moyo kila wakati, kama vile kunioneshea mapaja yake, tumbo lake, wakati mwingine anapenda niwe karibu yake lakin nikijaribu kumshika anadai hapendi kushikwa, ila yeye anapenda kunichokoza hasa kunipiga vingumi vya kimichezo michezo, ila kubwa kuliko kinacho nitesa, sasa ameanzisha tabia ya kuvaa blauzi yenye shingo pana inayopelekea matiti yaonekane wazi, na ninaposema wazi namaanisha wazi kabisa mpaka zile chuchu za juu kabisa zinaonekana, sasa nashindwa kumuelewa huyu binti ana maana gani, na hichi ni kisa cha kweli kabisa wala sio utani, kibaya zaidi tupo nae sehem moja ya kazi kwahiyo kila siku tunashinda pamoja, wadau nisaidieni nifanyeje ili nimpata huyu demu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na huyo dada umri wenu ukoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa anakupiga piga vijingumi pokea simu ka unaongea na mshkaji wako unamuambia yule demu naenda kumtokea kesho na nilivojipanga lazima akubali
Kama anakupenda utamuona na kama hakupendi pia utamuona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si umwambie ki utu uzima !!. Vijana wa siku hizi hata kutongoza hamjui !![emoji850][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba unipe Location mkuu nitie timu mi akinionyesha ata mkono tu nakula mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…