Huyu dada amekwama wapi au ndio anataka kuniibia?

Matokeo hayadanganyi....

Ukikanyaga peku, kujichoma na msumari au mwiba ni kawaida....
Sa bi mkubwa kwani alikuwa Wapi siku zooote hizo kusema kama ana mimba aone reaction yangu hadi anisapraizi umebaki mwezi mmoja???
 
Daaah yani ujanja wote unatishiwa,huyo ni tapeli wa ccm yani sugu...mwambie akuletee mtoto umchemshe supu
 
...Dah, wanaume wa Leo! Sasa hapo Mkuu in lazima update ushauri wa wadau wa JF wakati umeishajiuliza mwenyewe maswali ya Msingi kabisa?
Hicho ni Kimeo. Tupa Kule....!![emoji15]
 
Hongera kwa kupona kupigwa.Ila kama huja pigwa siku nyingi unaweza endelea kuwasiliana naye.

Ningekushauri tuu,umjulishe kwamba unaikabidhi namba yake mahali husika kwa sababu yeye anataka kukutapeli
 
Picha hawezi tuma, simu mc mbovu, whtsap hakuna. Yote hayo amekwepa sawa fanya hivi mwambie unafunga safari ya kumkuta alipo ili mtunze mtoto akikukubalia basi uwe na asilimia 20 huenda anamimba ila mimba si yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…