nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
anawaza mamilion ya aliko
hivi dangote ana mtoto wa kiume?
Na wewe ukiwa ukishaolewa weka picha ya huyo mwanaume tuitolee comments.Mbona kachoka hivo bwana harusi kama anataka kusinzia au amekula kungu manga?
Na wewe ukiwa ukishaolewa weka picha ya huyo mwanaume tuitolee comments.
Bwana harusi kama hajaridhia vile!
kwani heaven on earth, huyo bwana harusi wewe unaona ana tatizo gani?hahaaa kuna watu hawajatulia hum ndani looh...........
He he he lol...Jamani si nimeulizwa bwana harusi nalionaje pozi lake?Na wewe ukiwa ukishaolewa weka picha ya huyo mwanaume tuitolee comments.
He he he lol...Jamani si nimeulizwa bwana harusi nalionaje pozi lake?
True!!
Shost naandamwa wakati nimefafanua sura niionavyo lol :shut-mouth:Teh teh teh....
Shost naandamwa wakati nimefafanua sura niionavyo lol :shut-mouth:
Hivi sura inasema kuhusu tabia ya mtu au hisia? Mtambuzi hebu nikumbushe!
Maana kuna jamaa yangu akicheka utadhani analia
Halafu kuna mwingine akichukia ndio anaongea kwa upole na taratibu sana!
Na John Vata[kwenye hadithi ya Mkimbizi]unamkumbuka?