Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 583
Khaaaaaa, halafu iweje mkuu?Ndio natoka kummalizia kulima shamba lake,cha kushangaza nimefika nyumbani .kwake sijamkuta,na mimi niliku nahitaji hela nikajiandalie sikukuu, sasa wapendwa naomba mnikopeshe 15,000,nitaludisha hata kwa riba.
NATANGULIZA SHUKRANI
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani unaazima hela kama unaazima kijiko