Huyu binti anashida gani?

Unaibisha kanda ya ziwa
 
Nampenda no matter sura nk lkn nimemwelewa na angetuliza akili nadhani tungefika mbali lkn kwa hili nadhani niyatafakari maamuzi ya kutaka kumuweka kwenye mipango yangu . Nimeshaanza kumwondoa kwenye mipango na hapa nimempa nafasi ya mwisho akija akaleta utoto ule tena basi itakuwa ndo mwisho wetu
 
Utaacha wangapi mkuu maana unamuacha huyu anakuzungusha kwenye sex unavamia mtumbwi wa vibwengo hamna rang utaacha kuona mkui
Dhumuni kuu la kua wapenzi ni kuunganisha vikojoleo, sasa kama hilo linafeli au linfanyika kwa ukakasi hamna budi kuachana.
 
Mkuu huduma natoa lkn nadhani hilo la kuonesha namhitaji sana ndo tatizo kiukweli ni tatzo kubwa sana yaani ananisumbua haswaa sijuii nimpotezee au sijuii nifanyeje aloo
Mshushe thamani yake,
Mkalipie kwa Maneno makali ya kuudhi afu angalia response Yake
 
Mshushe thamani yake,
Mkalipie kwa Maneno makali ya kuudhi afu angalia response Yake
Ahsante mkuu niko pazuri kwenye hili suala nimeshamuwekea mtego akijaa nampiga chin fasta namsubiria akija akizingua tena napiga chin moja kwa moja
 
Akija mle kimashala. Hakuna.kumwambia tufanye mapenzi. Kaa chini ongea naye, shika nywele ukimpigisha stroy na sehemu nyingine nyeti...ukisikia anaanza kuishiwa pumzi ndo.wakati wa kumuomba. Hapo kukataa siyo rahisi.





Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Dah natumiaga zaid ya masaa mawili na bado hanielewag mkuu hawa watu wana mambo ya ajabu sana asiee
 
Mkuu huduma natoa lkn nadhani hilo la kuonesha namhitaji sana ndo tatizo kiukweli ni tatzo kubwa sana yaani ananisumbua haswaa sijuii nimpotezee au sijuii nifanyeje aloo
Huyo hana hisia za mapenzi. Ana tatizo katika mfumo wake wa uzazi. Kila kitu kinaanzia kwenye vichocheo. Hasaa kwa mwanamke akiwa na tatizo hili huwa anahis unapomwingilia ni kama unamjeruhi tu.
 
nikimuita anakuja vizuri tu kutoa K sasa ndo hataki!
Anadhan ww ni
. Aje kukitizama? Ila anakubali kwa kishingo upande maana hukumwita bali umemsihi na kumbembeleza kupita kiasi. Tofautisha kumwita mtu na kumsihi kiasi anakosa option. Ingawa hana nia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…