Huyu binti ananishangaza sana aseeee!

Huyu binti ananishangaza sana aseeee!

Mimi ndimi.
Eebbanaaaae!!!

Aseee huyu mwanamke ananishangaza sana aseeee! Kiukweli ni mtoto mkali na mtamu haswaaaa, mwenye rangi matata na kinachonivutia zaidi ni shape yake, duuuh! Ana kitako flani hivi amaizing! Yani sio kikubwa wala kidogo yani kimekaa mahali yake aseeeee!!!

Ebbana anachonishangaza ni tabia yake yani haombi hela aseee!! Yani nikipiga kimya nae anakausha aseee japo nae anakazi lakini ni ya kawaida, juzi kakuta elfu50 kwenye suruali yangu akiwa anafua, si akaniletea bana! Et "baby nimeikuta iiii kwenye suruali yako!" Duuuhh ilibidi nimuulize hana shida na hela nini maana niliiacha kwenye suruali makusudi.

Aseee naamini bongo nzima wanawake wenye tabia ya huyu manzi hawafiki 10 aaseeee, maana ni mtoto mtamu haswa aseee halafu ni kitonga.

Yani hapa comrade nimeokota zabibu chini ya m'buyu!

Nafuliwa, napikiwa, nafanyiwa usafi, napewa utamu, dudu nanyonywa duuh!!!

Hii ndio KI! KI! KI! KI! KI! KI! KITOOOOOOOOONGAAAAA!
Umepata D mbili lakini?
 
bila shaka utakuwa mnyakyusa izo aseeeee kila mara aseeeeee.

mbombo loli
 
Mimi ndimi.
Eebbanaaaae!!!
Aseee huyu mwanamke ananishangaza sana aseeee! Kiukweli ni mtoto mkali na mtamu haswaaaa, mwenye rangi matata na kinachonivutia zaidi ni shape yake, duuuh! Ana kitako flani hivi amaizing! Yani sio kikubwa wala kidogo yani kimekaa mahali yake aseeeee!!!
Ebbana anachonishangaza ni tabia yake yani haombi hela aseee!! Yani nikipiga kimya nae anakausha aseee japo nae anakazi lakini ni ya kawaida, juzi kakuta elfu50 kwenye suruali yangu akiwa anafua, si akaniletea bana! Et "baby nimeikuta iiii kwenye suruali yako!" Duuuhh ilibidi nimuulize hana shida na hela nini maana niliiacha kwenye suruali makusudi.
Aseee naamini bongo nzima wanawake wenye tabia ya huyu manzi hawafiki 10 aaseeee, maana ni mtoto mtamu haswa aseee halafu ni kitonga.
Yani hapa comrade nimeokota zabibu chini ya m'buyu!
Nafuliwa, napikiwa, nafanyiwa usafi, napewa utamu, dudu nanyonywa duuh!!!
Hii ndio KI! KI! KI! KI! KI! KI! KITOOOOOOOOONGAAAAA!
Mkuu,nisalimie mama Amina, huyo kibonge muuza chipsi.
 
Naona mrejesho umekamilika nextdoor anakuja na Uzi natafuta MKE
 
Wewe kama mwanaume inabidi ujiongeze,siyo mpaka uombwe hela ndo hutoe...huyoo inabidi huwe unampa tuu! Na anakuchora tuu,we endelea kujisifia..kama anafanya hayo wote unashindwaje kumpa hela unasubiri uombwe?? Wanaume mnakwama sana....
 
Huyo hana bahati pole yake.
Hivi kumpa hela mpaka akuombe!!
 
Back
Top Bottom