comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,284
- 16,702
Mimi ndimi.
Eebbanaaaae!!!
Aseee huyu mwanamke ananishangaza sana aseeee! Kiukweli ni mtoto mkali na mtamu haswaaaa, mwenye rangi matata na kinachonivutia zaidi ni shape yake, duuuh! Ana kitako flani hivi amaizing! Yani sio kikubwa wala kidogo yani kimekaa mahali yake aseeeee!!!
Ebbana anachonishangaza ni tabia yake yani haombi hela aseee!! Yani nikipiga kimya nae anakausha aseee japo nae anakazi lakini ni ya kawaida, juzi kakuta elfu50 kwenye suruali yangu akiwa anafua, si akaniletea bana! Et "baby nimeikuta iiii kwenye suruali yako!" Duuuhh ilibidi nimuulize hana shida na hela nini maana niliiacha kwenye suruali makusudi.
Nikimpa pesa anasema asante, yani mpaka nimlazimishe sana yani mpaka anaboa
Aseee naamini bongo nzima wanawake wenye tabia ya huyu manzi hawafiki 10 aaseeee, maana ni mtoto mtamu haswa aseee halafu ni kitonga.
Yani hapa comrade nimeokota zabibu chini ya m'buyu!
Nafuliwa, napikiwa, nafanyiwa usafi, napewa utamu, dudu nanyonywa duuh!!!
Hii ndio KI! KI! KI! KI! KI! KI! KITOOOOOOOOONGAAAAA!