Huyu binti ana skendo nyingi, halafu anadai nimempa mimba

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Habari wananzengo

Kuna binti mmoja umri miaka 19 ni binti wa Kinyiramba kutoka Singida

Nilikutana nae tangu mwaka Jana alipokuja kusoma Chuo,basi nikamtongoza kaingia line na nikaanza kula mzigo

Mwanzo wa mahusiano alinidanganya eti ana mtoto,lakini nilipomchunguza zaidi nikajua ni muongo

Ikafika kipindi akakiri mwenyewe kwamba hana mtoto alikua ananidanganya tu

Maisha yaliendelea na mapenzi yalinoga zaidi kati yetu

Baada ya muda nikaanza kupata taarifa kwamba huyu binti keshaanza kuonekana Maeneo ya starehe majira ya usiku yani anatoka hostel anaenda kujirusha tena anaonekana na watu wazima

Ni binti nzuri kama mnavyojua mabinti kutoka singida, basi ikafika hatua akasimamishwa masomo (anasoma hivi vyuo vya kati vilivyo chini ya VETA)

Baada ya kumaliza adhabu yake akarudi Chuo na kuungana na mwenzake wakaenda kupanga mtaani,huyu mwenzake ni mtu wa skendo yani ni Malaya sana

Hapo ndipo migogoro ikaanza kati Yangu na huyo binti,kila wakati napata taarifa zake za kutokuwa muaminifu ,yeye mwenyewe anajifanya ni MTU mmoja mstaarabu sana

Simu yake ukiigusa ni ugomvi,sasa hivi majuzi ananiambia anahisi ana kitu mwilini mwake

Nikamuuliza nini akaniambia anahisi ana mimba nikamwambia Pima ,akagoma hadi tukutane siku moja naenda anapoishi namkuta anaongea na simu na msela nikaamua kusepa

Kesho yake namuuliza umepima anasema ndio na mimba ipo, nikamwambia njoo home tupime wote nihakikishe akagoma eti anaogopa nitampiga maana anasema nimezoea kumpiga piga

Nikambembeleza sana aje tupime kama ipo taratibu nyingine zifuate akaendelea kuleta mapozi

Mimi nikaamua kusafiri,sasa huyu binti sijui kama kweli ana mimba na hata kama anayo nishamwambia simwamini kabisa na siamini kama kweli hiyo mimba nimempa Mimi

Nimfanyaje huyu binti manake sio muaminifu nimejaribu kumwacha Mara kadhaa ila bado king'ang'anizi na sasa kaja na Inshu ya mimba.
 
Mkuu inaonekana ww ndio unampenda huyu Binti maana kwa hali ya kawaida kuvumilia yote haya kama huna upofu wa mahaba ni kazi

So kuepusha muda we nenda mkapime wote mimba maan kukaa mbali nae hutaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wanaume bana hivyo baada ya kukwambia ana mimba ndio umekuja kutafuta huruma JF. Lol
 
yupo kwenye foolsh age anahitaji kusimamiwa zaid ila anaonekana mambo mengi sana pamabana nae si hamuwataki single mama amabao wanajitambua kazi kwako na mcharuko wako :D
 
Wahenga wanavyosemaga mvumilivu hula mbivu we ulijua ni mbivu zipi mzee? Hizo ndo mbivu sasa. Pamoja na kujua alivyo bado uliendelea kupiga mzigo tu tena kavu dah!
Leo mimba mzee acha longo longo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnaotujazia single mama mitaani na wakati mnajua kabisa tulishakubaliana hakuna kuowa mwanamke aliezalishwa mtaani

Muowe huyo utupunguzie single mama mmoja

GunFire
 
Habari wananzengo

Kuna binti mmoja umri miaka 19 ni binti wa Kinyiramba kutoka Singida

Nilikutana nae tangu mwaka Jana alipokuja kusoma Chuo,basi nikamtongoza kaingia line na nikaanza kula mzigo

Mwanzo wa mahusiano alinidanganya eti ana mtoto,lakini nilipomchunguza zaidi nikajua ni muongo

Ikafika kipindi akakiri mwenyewe kwamba hana mtoto alikua ananidanganya tu

Maisha yaliendelea na mapenzi yalinoga zaidi kati yetu

Baada ya muda nikaanza kupata taarifa kwamba huyu binti keshaanza kuonekana Maeneo ya starehe majira ya usiku yani anatoka hostel anaenda kujirusha tena anaonekana na watu wazima

Ni binti nzuri kama mnavyojua mabinti kutoka singida, basi ikafika hatua akasimamishwa masomo (anasoma hivi vyuo vya kati vilivyo chini ya VETA)

Baada ya kumaliza adhabu yake akarudi Chuo na kuungana na mwenzake wakaenda kupanga mtaani,huyu mwenzake ni mtu wa skendo yani ni Malaya sana

Hapo ndipo migogoro ikaanza kati Yangu na huyo binti,kila wakati napata taarifa zake za kutokuwa muaminifu ,yeye mwenyewe anajifanya ni MTU mmoja mstaarabu sana

Simu yake ukiigusa ni ugomvi,sasa hivi majuzi ananiambia anahisi ana kitu mwilini mwake

Nikamuuliza nini akaniambia anahisi ana mimba nikamwambia Pima ,akagoma hadi tukutane siku moja naenda anapoishi namkuta anaongea na simu na msela nikaamua kusepa

Kesho yake namuuliza umepima anasema ndio na mimba ipo, nikamwambia njoo home tupime wote nihakikishe akagoma eti anaogopa nitampiga maana anasema nimezoea kumpiga piga

Nikambembeleza sana aje tupime kama ipo taratibu nyingine zifuate akaendelea kuleta mapozi

Mimi nikaamua kusafiri,sasa huyu binti sijui kama kweli ana mimba na hata kama anayo nishamwambia simwamini kabisa na siamini kama kweli hiyo mimba nimempa Mimi

Nimfanyaje huyu binti manake sio muaminifu nimejaribu kumwacha Mara kadhaa ila bado king'ang'anizi na sasa kaja na Inshu ya mimba.
Usijaribu kuwa serious hata siku moja na mabint wa singida uwa wanamawenge sana, na wanaliwa kirahisi sana
 
Back
Top Bottom