Huyu bidada yupo kundi gani?

Huyu bidada yupo kundi gani?

Mkuu na mimi yananikuta haya haya yanayokusibu wewe... Nmejaribu kumueleza anajirekebisha siku mbili tatu then anabadilika tena. Nimeamua kufanya maamuzi sahihi sahihi na mimi nampotezea tuu.. Hakuna haja ya kurndelea kugandana na ke wa aina hiyo
Screenshot_20190701-002928.jpeg
 
Mkuu hakuna cha kukushauri....
It is obvious wewe umemzimikia more than yeye kwako! Kama haku cheat wala kukukosea heshima we endelea tu maana feelings btn two people haziwagi equal anyways🤷🏼‍♀️
Mkuu hakuna cha kukushauri....
It is obvious wewe umemzimikia more than yeye kwako! Kama haku cheat wala kukukosea heshima we endelea tu maana feelings btn two people haziwagi equal anyways🤷🏼‍♀️
Hapa kuna ka ukweli maana nimesamehe sana huyu mtoto mpaka najiona sio mimi...
 
Kwenye mapenzi yetu mimi ndie mgumu kumtafuta sio yeye

Na kingine nakerekwa na maswali ya uko wapi..unafanya nini,.

Ila kumpenda jamaa nampenda sana tu na sina wa pembeni
ndiyo we unajua ni kwanini halalamiki kwamba humtafuti ni kwamba ameshajua ndiyo tabia yako na unaweza kukuta anakuchora na ameanza kuhisi unamsela mwingine ndo maana humtafuti...hivi mfano ukiolewa dada yangu hayo maswali lazima uulizwe na ndio principle ya mapenzi hiyo wewe mfano umeolewa mmeo anaondoka saa kumi na mbili asubuhi bila kupiga simu bila kusema chochote hutomuuliza?
 
Kwenye mapenzi yetu mimi ndie mgumu kumtafuta sio yeye

Na kingine nakerekwa na maswali ya uko wapi..unafanya nini,.

Ila kumpenda jamaa nampenda sana tu na sina wa pembeni
we mgeni kwenye mapenzi itakua
 
Mkuu na mimi yananikuta haya haya yanayokusibu wewe... Nmejaribu kumueleza anajirekebisha siku mbili tatu then anabadilika tena. Nimeamua kufanya maamuzi sahihi sahihi na mimi nampotezea tuu.. Hakuna haja ya kurndelea kugandana na ke wa aina hiyo
View attachment 1144234
Picha hilo ni kama langu yaani ni changamoto sana
 
Itatagemea kama ni weekend au weekdays
ndiyo we unajua ni kwanini halalamiki kwamba humtafuti ni kwamba ameshajua ndiyo tabia yako na unaweza kukuta anakuchora na ameanza kuhisi unamsela mwingine ndo maana humtafuti...hivi mfano ukiolewa dada yangu hayo maswali lazima uulizwe na ndio principle ya mapenzi hiyo wewe mfano umeolewa mmeo anaondoka saa kumi na mbili asubuhi bila kupiga simu bila kusema chochote hutomuuliza?
 
Hata sio mgeni
asa kama sio mgeni utsemaje hupendi kuambiwa uko wapi? anza kujifunza sasa hivi usije kuwa akama hao wadada amabao wanaambiwa tabia zao ni mbaya ndio maana hawaolewi na moja wapo ya tabia amabayo usirudie tena ni hiyo ya mpenzi wako anataka kujua uko wapi unasema hupendi...kuna watu wanatafuta care ya design hiyo na akimpata msela wako na akamheshimu na kurudisha upendo utaachwa kweupe
 
Yani ulichokiandika hakuna utofauti na mimi,maswahibu hayo hayo yananikumba mtu hakutafuti.

Ila mimi nilishajiongeza mapema niko na msichana mwingine akijisikia kunitafuta atanitafuta akivunga na mimi navunga kimya kimya maisha yaendelee kujipa stress za nini.
 
Safi sana mkuuu...

Habari zenu wapenzi wa MMU..
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hivi takribani mwaka mmoja,tunapendana sana na tumeshavunja amri ya 6 kama wapenzi wenye malengo.Mimi na huyu mpenzi wangu hatuishi karibu japo wote tupo Dsm,tatizo huyu mwenzangu kwenye ishu ya mawasiliano ni mzito sana tunaweza kaa siku tatu bila kuwasiliana nisipomtafuta mimi...nilishawahi kukaa nae chini na kumhoji nini shida mpaka anakuwa mzito kunijulia hali mimi kama mpenzi wake na muda wa maongezi anao,mitandao ya kijamii namuona yuko online but hanitafuti akadai atajirekebisha ila hamna chochote alichojirekebisha japo wote tuko busy but mimi natenga muda namtafuta kwanini yeye hanipi kipaumbele katika maisha yake....niko njia panda kufanya maamuzi magumu,ushauri wenu tafadhali ila nikiwa nae karibu napewa kila kitu nikitakacho but kama mke bila mawasiliano mazuri na mumewe ni mbayaa baadae
Unaibiwa mkuu
 
Back
Top Bottom