Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,250
- 2,314
Habari zenu wapenzi wa MMU..
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hivi takribani mwaka mmoja,tunapendana sana na tumeshavunja amri ya 6 kama wapenzi wenye malengo.Mimi na huyu mpenzi wangu hatuishi karibu japo wote tupo Dsm,tatizo huyu mwenzangu kwenye ishu ya mawasiliano ni mzito sana tunaweza kaa siku tatu bila kuwasiliana nisipomtafuta mimi...nilishawahi kukaa nae chini na kumhoji nini shida mpaka anakuwa mzito kunijulia hali mimi kama mpenzi wake na muda wa maongezi anao,mitandao ya kijamii namuona yuko online but hanitafuti akadai atajirekebisha ila hamna chochote alichojirekebisha japo wote tuko busy but mimi natenga muda namtafuta kwanini yeye hanipi kipaumbele katika maisha yake....niko njia panda kufanya maamuzi magumu,ushauri wenu tafadhali ila nikiwa nae karibu napewa kila kitu nikitakacho but kama mke bila mawasiliano mazuri na mumewe ni mbayaa baadae