Duh mkuu una utani na huyo mzee mangula .Sio Mangula huyu amevaa gauni? Kama namfananisha!
Toa maoni yako matusi mwiko!
Mtaji wa ccm ni wajinga tuu
Katika ujana wake hapakuwepo chama kingine!Hakuwa na jinsi alijikuta yupo TANU na hatimaye FICCM!Toa maoni yako matusi mwiko!