Huyu Balozi Omar Kashera ni nani?

Huyu Balozi Omar Kashera ni nani?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
IMG_2109.jpeg


Ninaomba mwenye cv ya Omar Kishera maana namwona sana mitandaoni hasa Istgaram akiunguruma na vipindi mbalimbali vya elimu kwa UMMA na kwa Taasisi binafsi.

Je, ni miongoni mwa vigogo waliowahi itumikia Tanzania wakiwa na elimu nzuri ila walifubazwa na mifumo ya nchi hii?

Je, akili zake zimerudi baada ya kutoka serikalini?

Sasa amekuja na simulizi dhidi ya Hayati Membe na yeye zinasimua kule Istagram je ni nani mwamba huyu katika diplomasia za Tanzania?

Kwa umahiri anaoonesha akiwa na sigida kwenye paji la uso seems ni waliochezewa na mfumo wetu mwishowe yupo nje ya system akitema madini

Je, ni nani mtu huyu?
 
namkubali sana hasa kwenye masuala ya diplOmasia na itifaki. alikuwa anafanya kazi wizara ya mambo ya Nje enzi za BM kisha akahamishiwa New York kipindi cha JK sasa hivi yupo Tz kama Rais wa Kituo cha Diplomasia na itifaki. CV yake sina ila najua ni ant-samia gang. Kijana mtiifu wa JK
 
namkubali sana hasa kwenye masuala ya diplOmasia na itifaki. alikuwa anafanya kazi wizara ya mambo ya Nje enzi za BM kisha akahamishiwa New York kipindi cha JK sasa hivi yupo Tz kama Rais wa Kituo cha Diplomasia na itifaki. CV yake sina ila najua ni ant-samia gang. Kijana mtiifu wa JK
Diplomasia ya nn dunia ya leo jamaa mjanja mjanja Mzee wa kuoa na kuacha
 
Omar hajawai kuwa balozi bali aliwahi kufanya kazi ubalozini kama watumishi wengine.
Yeye mwenyewe aliniambia kwamba yupo hapa Tanzania lakini ni balozi kule Dubai, akaniambia anafundisha shule ya diplomasia, wakati huo hizi video zake hazijaanza kusambazwa instagram.

Hiyo ilikuwa mwaka jana mwanzoni. Mtu mzima hawezi kunidanganya mimi mtu mzima mwenzake.
 
Ninavyojua mimi amefanya kazi balozi sita mpaka sasa kaka mtumishi wa ubalozini ,aliwekwa nje na mfumo wa kaka mzilankede sababu ya mahaba yasiyomithirika kwa babu matezi ila zaidi ana uhusiano wa kindugu na dada HAWAKUMBUKI wa huko mleba adui wa dada Irene Darton wa pale jamvini kwa mjomba Max

Mwisho namtambua kama shemeji kwa kumuoa binamu yangu na kumtariki mwaka 2016 .

Ni hayo tu
 
Diplomasia ya nn dunia ya leo jamaa mjanja mjanja Mzee wa kuoa na kuacha
Kuoa na kuacha sio tatizo. Je anachoongea ni kweli? je ni kweli ni mzoefu?? Uzoefu unambeba sana amekuwa Afisa wa Ubalozini pale New York kwa muda mrefu sana baada ya kufanya Pia Dubai na nchi nyingine Kadhaa. amekaa serikalini muda Mrefu sana wakati wa Serikali ya JK alikuwa mtu Muhimu sana kwake. hayo mambo binafsi ya zipu mbovu kila mwanaume anafanya
 
Back
Top Bottom