Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,505
- 2,515
Mkuu ujue wasukuma mnnatuacha njia panda hadi kwenye lugha. hivi ni kolomije au koromije. ?Koromije
Mkuu ujue wasukuma mnnatuacha njia panda hivi ni kolomije au koromije. ?
Nchi nzima tunaonekana tuna matatizo ya r na l sasa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu ujue wasukuma mnnatuacha njia panda hadi kwenye lugha. hivi ni kolomije au koromije. ?
Nchi nzima tunaonekana tuna matatizo ya r na l sasa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hawa watu wanatusomesha namba mpaka kwenye lugha bwana.Call me Jey= Kolomije. Hao wasukuma ndio wana matatizo ya "r" na "l"
Lugha ya kiswahili inawapiga chenga.Hawa watu wanatusomesha namba mpaka kwenye lugha bwana.
Wa kwakoHivi mshana jr anatokea mkoa gani![]()
![]()
![]()
![]()
![]()