Huyu anapatikana bwawa la Mtera

Mmmmmh. Mtera hii hii? Huu ndo ushirikina wenyewe
 
labda kwa macho yetu yaleeee....
 
Hapo ni baada ya kujivua gamba ndio maana rangi imebakia ile ile
 
na huyu ndio mnyama gani ndugu zangu na watalaam wa wanyama huyu anaishi miaka mingapi?
 
Anaitwa "Kudadekiiii"
Niseme nisiseme....Maji marefu wewe si ndiyo
uliwachanja chale kwenye....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…