Huyu ananipenda kweli au napoteza muda Tu!?

Huyu ananipenda kweli au napoteza muda Tu!?

Mkuu pole mapenzi sio utumwa kama unaona hairidhishi nafsi yako piga chini tafuta anayekufaa wala usiendelee kuumia
 
Mkuu hapo unapenda ila haupendwi na haujui kama binti anakuzunguka,upo kama spea tairi hasa wakati wa shida zake tu baada ya hapo anakuchukulia kama mtu wa kawaida tu kwake
 
Mbona unamng'ang'ania, mwache tu, kwani kuna wangapi watamu huenda kuzidi huyo.
 
Ahaaa ulivyomaliza sasa loh.

Funguka bana huo ni utamu upi ili tukushauri vizuri
 
Kashajua weakness yako ndio tatizo

Sasa mfanyie surprise attack . . .usipige,usitext wala kufanya jitihada zozote za kuonesha kuokoa penzi lenu

Trust me kama anamaanisha kukuacha hatokutafuta.,kama alikuwa anatikisa kiberiti hapo itakuwa zamu yake kubembeleza

Utamu wake ukoje kwani?
Umemsaidia ushauri ashindwe yeye sasa. .
 
Kashajua weakness yako ndio tatizo

Sasa mfanyie surprise attack . . .usipige,usitext wala kufanya jitihada zozote za kuonesha kuokoa penzi lenu

Trust me kama anamaanisha kukuacha hatokutafuta.,kama alikuwa anatikisa kiberiti hapo itakuwa zamu yake kubembeleza

Utamu wake ukoje kwani?
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Huyo bint Hana mapenzi na ww trust me angekupenda asingesubutu kukutamkia hayo maneno in short ww ni mchepuko wake anaebwana anaempenda kwa dhati akukihoa tu bint keshafika
 
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom