Huyu Anamaanisha nini?

Mbona hajaomba? Jamaa kajishtukia..alipaswa amfariji tu kwa maneno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujaelewa nn hapo mkuu wakati ulishaambiwa demu anapopata danga jipya ndio mda huohuo kodi imeisha, LUKU imeisha, gas imeisha, kuna shoga yake anaolewa, amefiwa nabibi yake anataka hela yanauli, anajihisi kuumwaumwa anataka aende kupima namengineyo kedekede
 
jiongeze tu
 
Verifier,
Kuna kabinti kamoja Jumamosi iliyopita mekukatana nacho kwenye bajaji tukapiga story mbili tatu baada ya kufika Mbezi kakaniomba namba, jana kananiomba ela ya kusukia 30k wakati sijakatongoza wala kukatafuta tangu nimekapa namba.
Ulimtukana??
 
Ukiona manyoya!! jiongeze hapo kamanda
 
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… utajua mbele kwa mbele mkuu lakn kwa sasa kodi kwanza hayo mengine badae
hapo kodi siyo chini ya 200k,muda mwingine hizi chenji tuwe tunawatumia wazazi wetu na wao wanufaike na uwepo wetu
 
hapo kodi siyo chini ya 200k,muda mwingine hizi chenji tuwe tunawatumia wazazi wetu na wao wanufaike na uwepo wetu

πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… toa ndugu toa ndugu ulichonacho bwana atakuona mpaka moyoni mwako🀣🀣🀣🀣🀣🀭
 
Endelea na maisha yako wala usiumize kichwa kwa vitu vya ajabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…